MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa.
CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa vile CCM ina utamaduni wa mgombea kumalizia muhula wa pili bila zengwe, naona kuna kila dalili ya CCM na Chadema kuunganisha nguvu kwenye uchaguzi ujao kwa manufaa makubwa ya taifa letu na kumsimamisha mgombea mmoja.
Kwa kuwa Chadema hamna mgombea anayekubaliki na CCM, pia kwa kuwa CCM hamna mgombea anayekubalika na Chadema zaidi ya mama basi tunabaikza chaguo moja tuu, yaani mama Samia Suluhu pekee.
Katika uchaguzi ujao naona kabisa kwa kauli moja. CCM na Chadema wanaenda kumpitisha mama kupeperusha bendera ya vyama vyote viwili.