Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

Sheikh mwenye heshima kubwa hapa Tanzania na Afrika ya Mashariki Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda amesema CCM imeinajisi Nchi kwa miongo mingi Sasa baaasi!!
Waislamu wote wenye akili tunakwenda na mawazo ya shekh wetu Ponda.
 
Kuna muongo kama msaliti wa Nchi Lissu ?

Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Sheikh Ponda Issa Ponda amemuumbua John Pombe kwa kusema Raisi hapaswi kuwa Muongo kwani Allah huchukizwa na Mtu muongo
 
Magafuli ameua ccm kwa ubinafsi wake, ila safi kwa hili.
 
Kuna muongo kama msaliti wa Nchi Lissu ?

Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Aliyekuwa Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola aliihakikishia USA na EU kuwa Mashoga wa CCM wako salama na Serikali ya CCM inavilainishi lukuki katika Hospital ya TAIFA Muhimbili.
 
Wamefeli kila kitu
 
Ccm haiwezi kuunga mkono ushoga

Aliyeunga mkono ushoga ni mgombea wa chadema

Ndio maana magundu yanamfuata kila aendako
Aliyekuwa Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola aliihakikishia USA na EU kuwa Mashoga wa CCM wako salama na Serikali ya CCM inavikainishi lukuki katika Hospital ya TAIFA Muhimbili.
 
Mtu anajibu hoja ya upinzani anatajaV80 kweli !
 
Ccm haiwezi kuunga mkono ushoga

Aliyeunga mkono ushoga ni mgombea wa chadema

Ndio maana magundu yanamfuata kila aendako
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola aliwahakikishia Mabalozi wa USA na EU ya kuwa Mashoga wako Salama salimini hapa Tanzania
 
"Vilainishi vya Mashoga vinapatika bure katika Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili" namnukuu Wazidi wa Afya Mhe Ummy Mwalimu.
 
Mgombea wa Chadema ndio Aliwatetea mashoga

Mwambieni msaliti wa Nchi, Tanzania hatutaki ushoga,
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola aliwahakikishia Mabalozi wa USA na EU ya kuwa Mashoga wako Salama salimini hapa Tanzania
 
Hivi mwaka huu walimu hawajasimamia uchaguzi wa ccm?
 
CCM ya mwisho ilikiwa ya kina COMRED Kinana. Tena aliitwa kuokoa jahazi ...

Hapa hatuna chama wana CCM...ukweli ndio huu.
 

Mnalipwa pesa za bure hata kuandika kwenu ni mtihani.Bado siku tatu tu,mtadaiwa hela za watu kwa sababu hazitazaa matokeo.Kuzindua ' MIRAFI' sijui ndiyo nini.Msichanganyikiwe dakika hizi za mwisho kwani bado tunawahitaji mpate hata udiwani viti 50 na angalau wabunge 5.Kumbukeni pilau bila kachumbari halina ladha.
 
Kuna muongo kama msaliti wa Nchi Lissu ?

Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Bia Yetu ... Ha ha ha ha haaaaa comment ya uongo wa Mugufuli imekuchoma kama pasi ya umeme ... ni kweli M/Mungu hapendi muongo kama alivo sema Sheikh Ponda poleeee haiwezekani tumbadilishe M/Mungu apende uongo!!!

Kuhusu ushoga hili nafkiri tuwaulize nyinyi wenzetu hapo Lumumba veepe au na Nyinyi wenzetu wakatoliki mnaunga mkono juhudi za PAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…