Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

Nyie endeleeni kutetea faragha, Watanzania hatupo tayari kuingizwa kwenye ushoga

Nendeni ubeligiji mkafanye kwa uhuru
Faragha kitu muhimu kijana usichungulie vyumbani waache Watanzania waondoe Stress za Magufuli
 
Muongo ni yule Msaliti wa Nchi aliyetetea ushoga

Watanzania hatutaki ushoga
 
Waache waendelee na kiherehere wakati msaliti wa Nchi Lissu ameshakata tikiti ya kurudi kwao ubeligiji

Wataachwa wanateseka wodini
Mbona mnawatishia kuwajeruhi Watanzania walio/watakaoamua kulinda/kuzuia wizi wa kura zao?Ulinzi shirikishi ni nguzo madhubuti ya uwajibikaji.Kwa nini liwe kosa kulinda kura bila fujo?Hivi maandamano ya Amani lazima watu waumizwe na vyombo vya ulinzi?
Watanzania siyo wajinga,wakitaka kuandamana walindwe wasidhuriwe na askari wetu,watawala wazuie umwagaji wa damu kwa kutoamrisha watu kupigwa/kukamatwa bila sababu za msingi Bali walindwe.Kama hakuna wizi wa kura NECCM inaogopa nini?
 
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule msaliti wa Nchi ameshakata tikit ya kurudi kwao ubeligiji anajua Watanzania wamemkataa

Usaliti ni laana
 
Miaka yote tu ndio wanachokifanya huku wakiiba kura
 
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule msaliti wa Nchi ameshakata tikit ya kurudi kwao ubeligiji anajua Watanzania wamemkataa

Usaliti ni laana
Bia yetu usisahau kuweka kura yako kwa Tundu Lisu 28 10 2020 kwa Uhuru wako wa fikra na kazi
 
Kuchagua msaliti wa Nchi Lissu ni kujitakia laana

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Bia yetu usisahau kuweka kura yako kwa Tundu Lisu 28 10 2020 kwa Uhuru wako wa fikra na kazi
 
Upewe sumu, utaendeleaje kupiga kelele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…