Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaamini vipi sasa, wapige pocha hata hao waheshimiwa ili niaminiNipo na waheshimiwa naona aibu kupiga picha
Dah mkuu umetishaKama hujawahi kuhonga ujue hukuwahi kupenda. Wenzio tunahonga atm card kabisa akajichotee anavyopenda.
Ile whitening skin cream itakuwa ishafanya yake ndio maana nataka nione pichaWewe hao hawapaswi kuonekana si uliniona siku ile na vix jibu unalo bhn acha kunizingua
TeheteheAhhahhahaa umepatikana. Halafu mbona haujatandika shuka mami au ndiyo mmejigijigii hadi shuka likatoka??
Mimi pia namhonga Mume wangu sumbai . nikipata mshahara ndiyo anazidisha mapenzi ili anichune tuu.
Sawa nasubiri, angalia salio la Mpesa nishatuma ile helaPicha yangu njoo tsap lipia elf 5
Usipende kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio bana.Badooo sjaiona unataka picha nzuri mashaaalah kama mtoto wa kiarabu tuma hiyo buku 5
Ila badili godoro hili godoro lako la tanform la elfu 80000 litakuvunja mgongo binti.Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?
Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.
Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.
Nyongeza:
Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.
View attachment 868241