Kwa mara ya kwanza Hezbollah watumia kombora zito la Fateh 110

Kwa mara ya kwanza Hezbollah watumia kombora zito la Fateh 110

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
[emoji298]️BREAKING

For the first time during this war Hezbollah has used precision Fateh-110 ballistic missile against a target in Tel Aviv

Kombora limeshambulia hadi uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuleta uharibifu mkubwa na kuna ndege moja ya Boeing ilipata madhara

Si tuliambiwa kuwa Israel ashamaliza uwezo wote wa Hezbollah?Kiko wapi sasa? Walikua wakitumia maroketi tu sasa wameanza kutumia makombora

Kombora la Fateh 110 lina mlipuko mkubwa na madhara yake ni makubwa sana

View: https://x.com/WarMonitors/status/1854204926177464612?t=dwseVlbPaj84jvloPdsrsQ&s=19

20241106_231314.jpeg
 
Kuna vitu hapa Duniani ukivifatilia vikakuingia kichwani vinakufanya unakuwa kama taahira. Vita ya Israel na Palestina vitaendelea kuwepo miaka mingi sana ijayo, na havijaanza Leo wala Jana. Sasa jiulize kwa miaka 25 kuanzia Sasa utakuwa umejaza server yako kichwani na upuuzi wa hii vita kiasi gani!?,utakuwa na umri gani wakati huo!??,..
 
Ulitaka moshi uweje!! Uko Israel wameniga marufuku kupicha picha matukio y kivita upande wao lkn ukiona tu ivyo vilio vya vijana wa kiIsrael jua ali sio poa. Iyo camera awaoneshi kinachowakimbiza kufatana na iyo sheria yao. Lkn kichapo kinatembea , ukiona Israel inapiga Beirut mji nkuu jua jana yake walipigwa vibaya nao ndio wanaenda kuwapa asala walebanon vita bado ngumu akuna cha taifa teule muimu tuwaombee aman na waache kibri cha kujitanua ktk ardhi yawa pelestine wafate tu sheria mgogolo utaisha lkn ndio kenge asikiii adi damu imvuje sikioni kwaizo Fateh 1 1 0 vilio vitakuwa vingi uko taifa teule.
.
 
Mbona kila kitu unakisia tu boss!

Andika uhalisia basi,

Nijuavyo, vita vinamaumivu ya pande zote, kwa mbabe na kusiko kwa mbabe, ila mwisho wa siku mbabe hushinda tu, kama ilivyo kwa Ukraine na Russia,
 
Back
Top Bottom