ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahhaa Hisbollah imetoa lini tangazo wakazi wa Galilaya wahame?. Hisbollah wanalipua tu kombora hawajali linaangukia wapi lengo lao ni kumaliza wahayudi kama Hitler ila wamemalizwa viongozi waoKama Hizbollah inavyowapangia wakaazi wa Galilee wakae wapi.
Au umesahau kama Northern Israel raia wamekimbia mashambulizi ya Hizbollah!??