Kwa mara ya kwanza Hezbollah watumia kombora zito la Fateh 110

Kwa mara ya kwanza Hezbollah watumia kombora zito la Fateh 110

Mbona kila kitu unakisia tu boss!

Andika uhalisia basi,

Nijuavyo, vita vinamaumivu ya pande zote, kwa mbabe na kusiko kwa mbabe, ila mwisho wa siku mbabe hushinda tu, kama ilivyo kwa Ukraine na Russia,
Kwa mbabe israhell kushinda labda na njaa
 
Attachments

  • WhatsApp-Image-2024-11-06-at-11.57.24-640x400.jpeg
    WhatsApp-Image-2024-11-06-at-11.57.24-640x400.jpeg
    55.6 KB · Views: 3
You believe that David slings and iron is finished. don't work since Israel's air defense was breached by a missile? Would you predict the aftermath of this attack? 🤔 Be ready to cry because Lebanon is being severely impacted once more and will likely be occupied for some time to come.
Imepenyaaaaaa
 
Acha mkwara wa kitoto watu wako serious
You believe that David slings and iron is finished. don't work since Israel's air defense was breached by a missile? Would you predict the aftermath of this attack? 🤔 Be ready to cry because Lebanon is being severely impacted once more and will likely be occupied for some time to come.
 
Kwani mara ya kwanza inapenya?!! 😄 🤣 😂 jambo la kusikitisha watu wa suruali fupi Hisbollah wamesababisha Lebanon irudi stone age
Irudi stoneage kiaje?
Mbona watu wanaendelea na maisha kama kawaida!?
Upo kwenye hallucinations nini kijana😂😂😂😂😂
 
Irudi stoneage kiaje?
Mbona watu wanaendelea na maisha kama kawaida!?
Upo kwenye hallucinations nini kijana😂😂😂😂😂
Nimeamini Ashki majunun imekuvaa
 
Ulitaka moshi uweje!! Uko Israel wameniga marufuku kupicha picha matukio y kivita upande wao lkn ukiona tu ivyo vilio vya vijana wa kiIsrael jua ali sio poa. Iyo camera awaoneshi kinachowakimbiza kufatana na iyo sheria yao. Lkn kichapo kinatembea , ukiona Israel inapiga Beirut mji nkuu jua jana yake walipigwa vibaya nao ndio wanaenda kuwapa asala walebanon vita bado ngumu akuna cha taifa teule muimu tuwaombee aman na waache kibri cha kujitanua ktk ardhi yawa pelestine wafate tu sheria mgogolo utaisha lkn ndio kenge asikiii adi damu imvuje sikioni kwaizo Fateh 1 1 0 vilio vitakuwa vingi uko taifa teule.
.
Imekaa kishabiki sana
 
BBC wametangaza wamepiga ndani ya ben gurion ila sehemu zakupaki magari ndio imepigwa hii maana yake hata wanapo kaa abiria kunaweza kuchapwa israhell kumbe mweupe hivi
Ndio hivyo zile mbwe za cnn ,bbc na fox kuipamba Israeli ili iogopwe imeshaapita na wakati kwa vita hii ya gaza imewaweka uchi kabisa amna uoga tena
 
Ndio hivyo zile mbwe za cnn ,bbc na fox kuipamba Israeli ili iogopwe imeshaapita na wakati kwa vita hii ya gaza imewaweka uchi kabisa amna uoga tena
Kabisa watu wameona udhaifu wa mazayuni hawaendeshwi tena na propaganda
 
[emoji298]️BREAKING

For the first time during this war Hezbollah has used precision Fateh-110 ballistic missile against a target in Tel Aviv

Kombora limeshambulia hadi uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuleta uharibifu mkubwa na kuna ndege moja ya Boeing ilipata madhara

Si tuliambiwa kuwa Israel ashamaliza uwezo wote wa Hezbollah?Kiko wapi sasa? Walikua wakitumia maroketi tu sasa wameanza kutumia makombora

Kombora la Fateh 110 lina mlipuko mkubwa na madhara yake ni makubwa sana

View: https://x.com/WarMonitors/status/1854204926177464612?t=dwseVlbPaj84jvloPdsrsQ&s=19

View attachment 3145601

View: https://youtu.be/9lE3QqD6JHE?si=u3vLBuKH8U1wPhlJ
 
View attachment 3146134
Security Council Report
www.securitycouncilreport.org
Lebanon, November 2024 Monthly Forecast

7 days ago — As at 27 October, 834,746 people had been displaced in Lebanon, according to the International Organization for Migration (IOM).
Lebanon crisis: Over one million people flee strikes amid invasion fears
Umesoma vizuri habari uliyoleta!?
Kama Lebanon imegeuka kuwa mahame hao displaced kwanini watoe point A kwenda point B!?
Dooh pole sana.
 
Eti "kwa mara ya kwanza" kwahiyo siku zote hizo wameawawa viongozi wao karibu wote walikuwa wanasubiri nini kutumia hizo silaha mpya? Kesho utawasikia " now we are entering a new phase of war" wakati huo huo wanakimbia mahandaki Yao yaliiyojaa silaha huko south Lebanon
 
Umesoma vizuri habari uliyoleta!?
Kama Lebanon imegeuka kuwa mahame hao displaced kwanini watoe point A kwenda point B!?
Dooh pole sana.
Israel 🇮🇱 ndio anae dictator watoke wapi na waende wapi?!! Kama ilivyo Gaza na Hisbollah wala serikali ya Lebanon in short Israel inawapangia. over
 
Israel 🇮🇱 ndio anae dictator watoke wapi na waende wapi?!! Kama ilivyo Gaza na Hisbollah wala serikali ya Lebanon in short Israel inawapangia. over
Kama Hizbollah inavyowapangia wakaazi wa Galilee wakae wapi.
Au umesahau kama Northern Israel raia wamekimbia mashambulizi ya Hizbollah!??
 
Back
Top Bottom