ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahhaa Hisbollah imetoa lini tangazo wakazi wa Galilaya wahame?. Hisbollah wanalipua tu kombora hawajali linaangukia wapi lengo lao ni kumaliza wahayudi kama Hitler ila wamemalizwa viongozi waoKama Hizbollah inavyowapangia wakaazi wa Galilee wakae wapi.
Au umesahau kama Northern Israel raia wamekimbia mashambulizi ya Hizbollah!??
Naona unatapatapa mara huku mara kule.Hahhaa Hisbollah imetoa lini tangazo wakazi wa Galilaya wahame?. Hisbollah wanalipua tu kombora hawajali linaangukia wapi lengo lao ni kumaliza wahayudi kama Hitler ila wamemalizwa viongozi wao
Magaidi mnajisikiaje Israel anavojua kazi ya kila kiongozi kwenye chama chenu na kumu eliminate ๐ ๐คฃ ๐ ๐ ๐Kama Hizbollah inavyowapangia wakaazi wa Galilee wakae wapi.
Au umesahau kama Northern Israel raia wamekimbia mashambulizi ya Hizbollah!??