Hiyo ya mabalozi wa nchi za mabeberu kuamuruwa waondoke ni fake news. Tizama vizuri vyanzo vyako, walioko jikoni wanajua kunavyofukuta.
PK bado anajaribu diplomasia na hao mambwana wakubwa, so far wamemkazia.
Kwahiyo ugaidi ni maasi yanayofanywa na makundi ya kidini? So,neno Ugaidi linabadilika kutokana na nani anaufanya huo ugaidi?KWA sababu alijajifunga na dini tofauti na makundi mengine ya kihuni kama alshabab, alqaeda,boko haya yamefunga ndoa na dini japo dini yao inakataza mambo yao
Nini maana ya Ugaidi?Tofautisha kati ya insurgency, belligerency na extremist
Sijui ila soma vizuri hayo maneno matatu utajua tofauti ya ugaidi na wapigania himaya au utawalaNini maana ya Ugaidi?
Nazijua tofauti zao mkuu ila wote ni vita tu iwe hao extremist au hao wengineTofautisha kati ya insurgency, belligerency na extremist
Kumbe ulivamia tu usichokijua?Sijui ila soma vizuri hayo maneno matatu utajua tofauti ya ugaidi na wapigania himaya au utawala
Sasa kama hujui mbona umeandika usilojua?Sijui ila soma vizuri hayo maneno matatu utajua tofauti ya ugaidi na wapigania himaya au utawala
Wote ni wale wale tu
Kuuwa kumekatazwa na dini zote ila hili neno la ugaidi kwanini liwe na ukakasi kwa wengine ?
Suala hapa ni ugaidi unapokuwa na kikosi cha mauwaji ni ugaidi tu
Dini ni pa kujifichia tu na PK ni gaidi tu kwani anawafadhili hao
Wamegundua mabepari wa kizungu wakiendelea kumchekea kagame mchina ataingia drc kibabe wakaona chakupoteza wakaamua kufuata taratibu japo siwaaminigi sana.Hali ya kisiasa huko Drc na duniani imemnyima PK 'free ride' ya kuivuruga Drc kama miaka ya nyuma, japo bado hao mamluki wake wa M23 na RDF wanashikilia maeneo makubwa.
mtu chake Moronight walker Count Capone
Mmekaririshwa na nyinyi mkakariri jinsi anavyotaka Beberu mkariri.Sio mauaji yote yanaongozwa na ideology.
Ugaidi ni suala la kiitikadi zaidi.
IRA wale Irish nao wanaitwa magaidi kwa sababu wanataka kujitenga na ukSio mauaji yote yanaongozwa na ideology.
Ugaidi ni suala la kiitikadi zaidi.
mkuu khs drc,felix na rwanda na pk,nilisema humu kuwa felix anaenda kuweka mambo sawa kule masharikiHali ya kisiasa huko Drc na duniani imemnyima PK 'free ride' ya kuivuruga Drc kama miaka ya nyuma, japo bado hao mamluki wake wa M23 na RDF wanashikilia maeneo makubwa.
mtu chake Moronight walker Count Capone
na ndivyo inavyokwenda kua,felix mshindi.Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.
Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.
Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini hayo kuwa wa holela na madini yanauzwa kwa magendo pasipo kuinufaisha DRC.
Mabeberu walijihakikishia suppy ya madini hayo kwa bei ya kutupwa kwani waasi na wauzaji wadogowadogo hawana namna zaidi ya kuuza kwa bei inayopangwa na mnunuaji.
Kagame amekuwa middle man kwenye hiyo biashara kwa miaka mingi, ripoti nyingi za kimataifa zinasema waziwazi kuwa serikali yake imekuwa ikifadhili waasi wa mashariki mwa DRC. In fact wengi wa waasi hao ni wanajeshi na vijana wa kinyarwanda. (Wanajeshi wa TZ walioenda mission DRC wanaujua ukweli).
Sasa DRC imepata rais smart, mtoto wa mjini, bwana Felix. Huyu jamaa kaenda kula dili na mabeberu moja kwa moja, na wamekubali (after all pressure ilianza kuwa kubwa huko kwa mabeberu, wananchi wakitaka unyonyaji unaofanyika DRC ukome). Mabeberu wamehakikishiwa secure supply ya madini itakayo wanufaisha wao na DRC. Plan mpya imewekwa mezani, na PK siyo sehemu ya plan hiyo. Mabeberu wote wamemgeuka PK.
Felix akizicheza karata zake vizuri, basi huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa uhalifu wa miongo mingi mashariki mwa DRC, na Kagame anaenda kuachwa peke yake. Akijitutumua sana basi ajiandae kupewa chai.
Kila kilicho na mwanzo hakikosi mwishoWa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.

Hofu yao ni Russia kuingia DRC.Maana Russia mpaka sasa yupo Afrika ya Kati na Niger.Wamegundua mabepari wa kizungu wakiendelea kumchekea kagame mchina ataingia drc kibabe wakaona chakupoteza wakaamua kufuata taratibu japo siwaaminigi sana.