NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Nimeelewa vizuri mkuu.Hofu yao ni Russia kuingia DRC.Maana Russia mpaka sasa yupo Afrika ya Kati na Niger.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa vizuri mkuu.Hofu yao ni Russia kuingia DRC.Maana Russia mpaka sasa yupo Afrika ya Kati na Niger.
Russia anajiimalisha sana Africa. Pale Mali, Jamhuri ya Congo, Libya, Misri na Sudan anawasumbua sana Mabeberu wa Ulaya Magharibi. Sasa kama ushawishi wake umeimalika Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo, maana yake mabeberu wa Magharibi wanaona ni rahisi sana Russia kuingia DRC.Kwa hiyo wanaona ni bora wakamuwahi Felix kabla hajawekwa mfukoni ni Russia.Nimeelewa vizuri mkuu.
Na usisahau kwamba russia na china ni kama ng'ombe na nunduye.Wanaweza ambatana japo kimbalimbali.Russia anajiimalisha sana Africa. Pale Mali, Jamhuri ya Congo, Libya, Misri na Sudan anawasumbua sana Mabeberu wa Ulaya Magharibi. Sasa kama ushawishi wake umeimalika Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo, maana yake mabeberu wa Magharibi wanaona ni rahisi sana Russia kuingia DRC.Kwa hiyo wanaona ni bora wakamuwahi Felix kabla hajawekwa mfukoni ni Russia.
Popote pale aendapo Russia ni kupeleka tu umaskini, hana lolote la maana.Russia anajiimalisha sana Africa. Pale Mali, Jamhuri ya Congo, Libya, Misri na Sudan anawasumbua sana Mabeberu wa Ulaya Magharibi. Sasa kama ushawishi wake umeimalika Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo, maana yake mabeberu wa Magharibi wanaona ni rahisi sana Russia kuingia DRC.Kwa hiyo wanaona ni bora wakamuwahi Felix kabla hajawekwa mfukoni ni Russia.
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.
Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.
Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini hayo kuwa wa holela na madini yanauzwa kwa magendo pasipo kuinufaisha DRC.
Mabeberu walijihakikishia suppy ya madini hayo kwa bei ya kutupwa kwani waasi na wauzaji wadogowadogo hawana namna zaidi ya kuuza kwa bei inayopangwa na mnunuaji.
Kagame amekuwa middle man kwenye hiyo biashara kwa miaka mingi, ripoti nyingi za kimataifa zinasema waziwazi kuwa serikali yake imekuwa ikifadhili waasi wa mashariki mwa DRC. In fact wengi wa waasi hao ni wanajeshi na vijana wa kinyarwanda. (Wanajeshi wa TZ walioenda mission DRC wanaujua ukweli).
Sasa DRC imepata rais smart, mtoto wa mjini, bwana Felix. Huyu jamaa kaenda kula dili na mabeberu moja kwa moja, na wamekubali (after all pressure ilianza kuwa kubwa huko kwa mabeberu, wananchi wakitaka unyonyaji unaofanyika DRC ukome). Mabeberu wamehakikishiwa secure supply ya madini itakayo wanufaisha wao na DRC. Plan mpya imewekwa mezani, na PK siyo sehemu ya plan hiyo. Mabeberu wote wamemgeuka PK.
Felix akizicheza karata zake vizuri, basi huu unaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa uhalifu wa miongo mingi mashariki mwa DRC, na Kagame anaenda kuachwa peke yake. Akijitutumua sana basi ajiandae kupewa chai.