Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

Nimeelewa vizuri mkuu.
Russia anajiimalisha sana Africa. Pale Mali, Jamhuri ya Congo, Libya, Misri na Sudan anawasumbua sana Mabeberu wa Ulaya Magharibi. Sasa kama ushawishi wake umeimalika Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo, maana yake mabeberu wa Magharibi wanaona ni rahisi sana Russia kuingia DRC.Kwa hiyo wanaona ni bora wakamuwahi Felix kabla hajawekwa mfukoni ni Russia.
 
Siku za PAKA madarakani zinahesabika,mwenyewe husema is just the matter of "when and how". But now that phrase "when and how" is about himself.
 
Na usisahau kwamba russia na china ni kama ng'ombe na nunduye.Wanaweza ambatana japo kimbalimbali.
 
Popote pale aendapo Russia ni kupeleka tu umaskini, hana lolote la maana.
 
Amecheza vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…