Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

Huoni kama huo ni utovu wanidhamu?Umewapotezea muda kuomba,kukuinterview na sasa unaleta nyodo.Hii inaonesha kwamba wewe huna nidhamu na sidhani kama unajisikia fahari kwa ulichofanya.Ila binafsi nafikiri kwamba umewakosea waliokupa fursa.Cha kufanya wajulishe mapema kwamba huna nia ya kwenda hio habari ya kutafuta replacement yako waachie wao kwani hicho ni kiherehere.
Absolutely correct.
 
Mkuu mimi sio bora kuliko wengine, lakini naweza kusema nabahati tu, kuhusu kuingiza ten perday ,inawezekana sina uwezo wakuiingiza mkuu.kunywa maji ya uvuguvugu upunguze hasira.

Hio replacement sifanyi mimi,bali nasaidia kumtumia alienitumia niombe nafasi, Kisha baada yahapo yeye akiipitia atamtafuta muhusika mambo mengi yataendelea mkuu wangu.
Alivyokuunganisha huyo rafiki yako, uliomba akufanyie connection au ni povu tu?
 
Alivyokuunganisha huyo rafiki yako, uliomba akufanyie connection au ni povu tu?
Ananifahamu vizuri, na anafahamu nafanya nini, aliniambia hio nafasi kwa kujua nakidhi qualifications wanazozihitaji. Watu wanaokuja dm nawapa email za boss muhusika moja kwa moja ,maana wadau washaanza kusema nataka kutapeli, kitu ambacho kinanifadhaisha na kunikasirisha.
 
dah umasikini mbaya sana...umasikini unaweza waza vitu vya ajabu ajabu tu
Mkuu nimegundua kwa nini wabongo wengi hawapendi kusaidia wengine, mtu unaleta jambo anaanza kusema huyu tapeli, nahata watu wanaokuja dm nimewakatalia wasinipe cv zao, nawapa email watume moja kwa moja ili kuepuka kuchafuana.
 
Mkuu unasema wewe ndio uliomba kazi,mpaka ukafanya hiyo interview na kukubaliana nao issue ya mshahara,ila hapa unasema hiyo kazi huitaki na hutoenda,

Swali langu kwako ni kwamba,lengo lako la kuomba hiyo kazi kisha kufanya interview na kukubaliana malipo huku ukijua kabisa kua hutoenda kwenye hiyo kazi,lilikua lengo gani?
 
Ananifahamu vizuri, na anafahamu nafanya nini, aliniambia hio nafasi kwa kujua nakidhi qualifications wanazozihitaji. Watu wanaokuja dm nawapa email za boss muhusika moja kwa moja ,maana wadau washaanza kusema nataka kutapeli, kitu ambacho kinanifadhaisha na kunikasirisha.
Sasa
hadi anakupa,
Hadi unapangiwa siku ya interview Serikali kuu ya kichwa chako ilikuwa wapi..,

Pia umemfanya mwenzako aonekane si mwaminifu, next time ikitokea mtu ambaye seriously anahitaji kuunganishwa na kazi kama hivyo..hiyo nafasi hatopatiwa tena coz umeshamuangusha.
 
Mkuu unasema wewe ndio uliomba kazi,mpaka ukafanya hiyo interview na kukubaliana nao issue ya mshahara,ila hapa unasema hiyo kazi huitaki na hutoenda,

Swali langu kwako ni kwamba,lengo lako la kuomba hiyo kazi kisha kufanya interview na kukubaliana malipo huku ukijua kabisa kua hutoenda kwenye hiyo kazi,lilikua lengo gani?
Mkuu watu tunaofanya biashara tunapitia mambo magumu sana, kuna Muda unaweza tamani umpe biashara yako mtu mwingine asimamie ili wewe ukakomae sehemu nyingine ili maisha yaende. Lakini nimekaa nimetafakari sana, nimeona heri niendelee kukomaa mwenyewe nawatu wangu.
 
Sasa
hadi anakupa,
Hadi unapangiwa siku ya interview Serikali kuu ya kichwa chako ilikuwa wapi..,

Pia umemfanya mwenzako aonekane si mwaminifu, next time ikitokea mtu ambaye seriously anahitaji kuunganishwa na kazi kama hivyo..hiyo nafasi hatopatiwa tena coz umeshamuangusha.
Mkuu watu tunaofanya biashara tunapitia mambo magumu sana, kuna Muda unaweza tamani umpe biashara yako mtu mwingine asimamie ili wewe ukakomae sehemu nyingine ili maisha yaende. Lakini nimekaa nimetafakari sana(uongeze kipato), nimeona heri niendelee kukomaa mwenyewe nawatu wangu.
 
Mkuu watu tunaofanya biashara tunapitia mambo magumu sana, kuna Muda unaweza tamani umpe biashara yako mtu mwingine asimamie ili wewe ukakomae sehemu nyingine ili maisha yaende. Lakini nimekaa nimetafakari sana, nimeona heri niendelee kukomaa mwenyewe nawatu wangu.
Okay sawa,ila itakua ni busara zaidi kama utawajulisha wahusika kua wewe haupo tayari kwenda kuifanya hiyo kazi ili nao waangalie utaratibu wao mwingine,kupiga kimya tuu sidhani kama ni jambo jema,Dunia inazunguka,huwezi kujua pengine siku za mbele wewe unaweza kuja kuwahitajia zaidi kuliko wao wanvyokuhitajia kwasasa.
 
Sawa mkuu, nimepokea ushauri wako kwa mikono 2. Shukrani bro.
 
Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku, kesho yake jumanne wakanitumia email kuwa nijiandae na interview siku ya jumamosi kwa njia ya Skype. Sikuijibu ile email ,Jumatano wakanipigia kuniuliza kama niliona email ,nikawajibu sijaangalia email,nikasemaa ngoja niangalie.

Nikaangalia nikakuta kweli email yao inayonipa maelekezo namna interview itavyokuwa nikwajibu ndio nimeiona hakuna shida. Jmosi saa nne na nusu asubuhi( jana) wakanitext Skype nikawajibu, wakaomba wanipigie kwa ajili ya interview nikawambia ok. Wakapiga alikuwa madam wakizungu na muhindi mmoja mshikaji tu .

Wakaniuliza masuali yote nikajibu, interview ilichukua saa moja na dk 47, tukarbagain mshahara wakasema wanipe laki 9 take home. Lkn kazi nimkoani. Wakaniambia basi week hii inaanza kesho nijiandae ,halafu Ile week nyingine niende. Sasa nimekaa nimetafakari nimeona siwezi kwenda kulingana nashughuri zangu binafsi nazofanya. Kwahio kama kuna mtu anauzoefu na.

Callibration of mass, pressure, temperature and underground tanks. Pia awe nacheti cha EIT au OSHA kinachohusu mambo ya safety.

Ana uwezo wakudesign kutumia
Solidworks, AutoCAD,ANSY,CATIA.
Anaweza kutumia microsoft word, power point, Excel ,na unauwezo wakufanya maintenance kwenye steam boiler, feeding machines, pamoja na printing machines ,napia yuko registered na ERB kama GE au PE. Basi ani Dm cv yake nimpe jamaa alieniambia niombe pale halafu atajua namna yakufanya maana mimi sintoenda.

Cv itayokidhi vigezo ndio ntakayoituma.

.........
Naona wadau kwenye comments wamemeza nyembe, naomba atakaekuja pm awe navigezo ntamp email ya wahusika atume moja kwa moja .
Hongera. Upo vzr!
 
Mkuu mbona povu, kwani huwa watu hawaendi kwenye interview kisha hawapewi nafasi,wanakua hawajapotezewa muda?. Au hujawahi ona mpaka watu wanafanyiwa training yakazi kisha wanaambiwa waende wataitwa halafu hawaitwi?.

Kunywa maji ya uvuguvugu mkuu, upunguze hasira.
Huwezi elewa nilichokwambia.Nafikiri hata hiyo kazi usingeweza kufanya.uko na mtazamo mbovu sana
 
Huoni kama huo ni utovu wanidhamu?Umewapotezea muda kuomba,kukuinterview na sasa unaleta nyodo.Hii inaonesha kwamba wewe huna nidhamu na sidhani kama unajisikia fahari kwa ulichofanya.

Ila binafsi nafikiri kwamba umewakosea waliokupa fursa.Cha kufanya wajulishe mapema kwamba huna nia ya kwenda hio habari ya kutafuta replacement yako waachie wao kwani hicho ni kiherehere.
Tena anajitetea kuwa amebargain nao mshahara wa 900k, sasa amebargain nao ili iweje?

Ndo maana Waafrika tunadharaurika mno, ufahamu upo chini.
 
Mkuu nikikuambia baada yakumaliza chuo ,nimekaa garage zaidi yamiezi 5 nikijifunza maintenance za magari(kwakulipia tena), nikaanda kujifunza maintenance za mashine bila kulipwa miezi 6, baada yahapo nikaanza issue za calibration miezi 7, nimesoma certificate za kucalibrate matank, weigh bridge,mizani,force ,mass, pressure, temperature. But all in all kwa Sasa naofisi yangu ambayo inadeal na issue baadhi nilizosotea baada yakumaliza chuo.
Nami naomba nafasi ya kujitolea buree mkuu apo kwnye ofisi yako...npate hayo maujuzi
 
Back
Top Bottom