Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

Absolutely correct.
 
Alivyokuunganisha huyo rafiki yako, uliomba akufanyie connection au ni povu tu?
 
Alivyokuunganisha huyo rafiki yako, uliomba akufanyie connection au ni povu tu?
Ananifahamu vizuri, na anafahamu nafanya nini, aliniambia hio nafasi kwa kujua nakidhi qualifications wanazozihitaji. Watu wanaokuja dm nawapa email za boss muhusika moja kwa moja ,maana wadau washaanza kusema nataka kutapeli, kitu ambacho kinanifadhaisha na kunikasirisha.
 
dah umasikini mbaya sana...umasikini unaweza waza vitu vya ajabu ajabu tu
Mkuu nimegundua kwa nini wabongo wengi hawapendi kusaidia wengine, mtu unaleta jambo anaanza kusema huyu tapeli, nahata watu wanaokuja dm nimewakatalia wasinipe cv zao, nawapa email watume moja kwa moja ili kuepuka kuchafuana.
 
Mkuu unasema wewe ndio uliomba kazi,mpaka ukafanya hiyo interview na kukubaliana nao issue ya mshahara,ila hapa unasema hiyo kazi huitaki na hutoenda,

Swali langu kwako ni kwamba,lengo lako la kuomba hiyo kazi kisha kufanya interview na kukubaliana malipo huku ukijua kabisa kua hutoenda kwenye hiyo kazi,lilikua lengo gani?
 
Sasa
hadi anakupa,
Hadi unapangiwa siku ya interview Serikali kuu ya kichwa chako ilikuwa wapi..,

Pia umemfanya mwenzako aonekane si mwaminifu, next time ikitokea mtu ambaye seriously anahitaji kuunganishwa na kazi kama hivyo..hiyo nafasi hatopatiwa tena coz umeshamuangusha.
 
Mkuu watu tunaofanya biashara tunapitia mambo magumu sana, kuna Muda unaweza tamani umpe biashara yako mtu mwingine asimamie ili wewe ukakomae sehemu nyingine ili maisha yaende. Lakini nimekaa nimetafakari sana, nimeona heri niendelee kukomaa mwenyewe nawatu wangu.
 
Mkuu watu tunaofanya biashara tunapitia mambo magumu sana, kuna Muda unaweza tamani umpe biashara yako mtu mwingine asimamie ili wewe ukakomae sehemu nyingine ili maisha yaende. Lakini nimekaa nimetafakari sana(uongeze kipato), nimeona heri niendelee kukomaa mwenyewe nawatu wangu.
 
Okay sawa,ila itakua ni busara zaidi kama utawajulisha wahusika kua wewe haupo tayari kwenda kuifanya hiyo kazi ili nao waangalie utaratibu wao mwingine,kupiga kimya tuu sidhani kama ni jambo jema,Dunia inazunguka,huwezi kujua pengine siku za mbele wewe unaweza kuja kuwahitajia zaidi kuliko wao wanvyokuhitajia kwasasa.
 
Sawa mkuu, nimepokea ushauri wako kwa mikono 2. Shukrani bro.
 
Hongera. Upo vzr!
 
Huwezi elewa nilichokwambia.Nafikiri hata hiyo kazi usingeweza kufanya.uko na mtazamo mbovu sana
 
Tena anajitetea kuwa amebargain nao mshahara wa 900k, sasa amebargain nao ili iweje?

Ndo maana Waafrika tunadharaurika mno, ufahamu upo chini.
 
Nami naomba nafasi ya kujitolea buree mkuu apo kwnye ofisi yako...npate hayo maujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…