Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

hapo nimekuelewa nafikiri lengo ni kupima compaction ya barabara.
Ndio mkuu, sasa lazima machine iwe iko calibrated, sasa jiulize zinacalibretiwa wapi?. Haya hapa bongo hakuna kampuni yakitanzania au wazawa ambayo inafanya calibration of vertical large tank(unground tank), kuna kampuni yakihindi ndio inapiga madeal, haya nenda huko migodini uone, hakuna kampuni yakibongo inayofanya calibration za weigh bridges, wamejaa makaburu ndio wanacalibrate , wabongo wengi wanahangaika tu kufanya maintenance na verification.

Hawa Tanroad tu, baadhi ya machine zao wanaita wasouth Africa wacalibrate, nachache huwa wanapeleka C-lab , na TBS ingawa hao C-LAB wenyewe hawana kibali chakufanya calibration, wanachofanya wanaact madalali wakampuni moja hivi ya UK, ndio inakuja kucalibrate baadhi ya vifaa.
 
Dah hiyo ni fursa aisee.
Hiyo troxler pia umesomea calibration zake?
Mkuu mi nimepiga calibration zote zinazodeal na Mechanical engineer directly (Metrology engineer), sema ndio nataka nizame kwenye hii industry nakila kitu kipo sawa, 2021 ndio mwaka wamapinduzi. Hii miaka 2 nilikua natafuta matundu na sasa nshayapata, nabaadhi yamakampuni yakigen nshafanya nayo kazi.
 
Kwa hiyo kumbe bongo kuna kampuni nyingi zinazoajiri wataalamu wa mambo haya?
 
sasa wewe ulifanya kazi na kampuni za aina gani
Mkuu calibration Ina mambo mengi, mimi nimechukua tender zabaadhi yamakampuni yakigeni ili niyafanyie calibration..mfano kampuni zote za ujenzi wa barabara, hospital,viwanda, magari yakubeba mafuta ya petrol au diesel, bandarani pale flow meters zote huwa zinafanyiwa calibration. Sasa issue nikampuni zakufanya calibration bongo ndio hazipo wengi wanatumia makampuni yakigeni na Tbs kwa vifaa baadhi. Nafikiri nimekujibu ukiniuliza nimewezaje kufanya nao kazi ,hio nimeweza kwa kukidhi baadhi ya masharti ya ISO 17025.
 
ooh vizur,na vifaa vya kufanyia calibration ni gharama kubwa kuvipata?
 
ooh vizur,na vifaa vya kufanyia calibration ni gharama kubwa kuvipata?
Vifaa inategemea unataka ufanye calibration ya nini, mfano ukitaka ufanye calibration ya underground tanks, inataikiwa uwe na lessen kutoka WMA, pia uwe navifaa ambavyo havizid mill 10. Hapo ni underground tanks tu, sasa ukija non-underground tanks hio nihabari nyingine. Na kuna baadhi yamakampuni kama COCALA, Pepsi hawaruhusu uwafanyie calibration kama hauko accredited na maabara kubwa za Afrika(south Africa) au UK. Sasa gharama zakufanya accreditation nikubwa kidogo more than 30Mill kwa volume tu.
 
Duh kumbe ina uwanja mpana sana
 
Mpuuzi kabisa huyu....
 
Kuna mtu anaelekea kupigwa hapa
Siwezi kupiga mtu, nahata waliokuja inbox nimewapa email watume,bahati nzuri nikampuni inayoeleweka na maarufu kwahio hakuna wakupigwa.

Una mentality yakimasikini sana mkuu. Samahani kwakukuambia hili.
 
Unatafuta replacement kwani wamekuomba ufanye hivyo au wewe ni mwajiri,,kwanza unaonekana unadharau,,kuna watu wanashida na kazi unajua ni watu wangapi wameachwa kwajili yako..
 
Kuna mtu anaelekea kupigwa hapa
Siwezi kupiga mtu, nahata waliokuja inbox nikewapa email watume,bahati nzuri nikampuni inayoeleweka na maarufu kwahio hakuna wakupigwa.

Una mentality yakimasikini sana mkuu. Samahani kwakukuambia hili.
Unatafuta replacement kwani wamekuomba ufanye hivyo au wewe ni mwajiri,,kwanza unaonekana unadharau,,kuna watu wanashida na kazi unajua ni watu wangapi wameachwa kwajili yako..
Kwahio nifanyaje mkuu, hujui kama hii dunia inaendeshwa kibepari, nakila mtu hula ulefu wakamba yake?. Niliowapa email washatuma kama wameitwa Mwenyezimungu awaongeza wapate hio nafasi, kama hawajaitwa wavumilie wataitwa wakati ukifika au watapata sehemu nyingine muda ukifika , Kipindi unalalamika mimi ninadharau kuna wengine wanajua hakuna mtu poa kama mimi. Kwahio ndio hivyo kiongozi.
 
Mkuu hongera sana hapo kati umetema madini tupu.
Mdogo ako Jombi na Mimi nimemaliza degree yangu ya Mechanical Engineering pale Jalalani mwezi uliopita.
Nitajucheki PM unipe shule kidogo ya mtaa.
 
Ni vizuri mkuu, kama umeona we huwezi fanya nao kazi ni vyema umefanya kutoa channel kwa wengine
 
Nimesoma comments zako zote, mkuu umeiva,kwa nondo unazotema huna sababu ya kuajiriwa
 
Engineer usipanikishe watu [emoji23][emoji23]

Watu wanahasira wanatafuta hata nusu ya 900k ww umeitolea nje watakuua waja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imenitokea hii mwez august bwana.Baada ya kusota mtaan nikapigiwa pass kama yote ..piga interview na kupita bargain mpaka salary nikaambiwa ni report septmber 2 for work.Hapo kat si wakanipigia cm kuwa nisiende tarehe pangwa ila mpaka wanipigie cm....bwana weee nusu presha unishukee maana ilikua deal tamu kinyama...mpaka leo hollaah!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…