Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
- Thread starter
-
- #21
ladha yake ni kama kumbusu mwanamke,ila kula ngumu mzee lite waachie ile jinsia pedwa
mi nikiwa nakunywa bia siwezag kumaliza bila kuchana chana vile vikaratas vinavyowekwa kwen bia,[emoji1][emoji1]
Mimi nliwahi jaribu nikia nimekaa sebuleni, tetemeko likapita nikadhani ni stimu ya ganja ndivyo inakuwa.Mpk utafika kwenye bangi!
karibu kwenye chama mkuuHahaha...! Mie ni newbie, Hata sijui itakuwaje ila ngoja niisikilizie
Mimi nliwahi jaribu nikia nimekaa sebuleni, tetemeko likapita nikadhani ni stimu ya ganja ndivyo inakuwa.
Hata kuhesabu watu wanaanzia namba 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10 na hata unywaji the same hivyo hivyo so ukifikia kwenye kumi wewe sio mnywaji tena bali ni mlevi.
Ipo siku utazingua tu hii kitu huwa aina kujicontrol dawa nikuacha tu hapo ndiyo mwisho wa matatizo.Nitajicontrol mkuu. Ni suala la kujicontrol, ukiona umepita kiwango cha kawaida si vibaya kubaki hapo hapo usizidishe.
Jiandae kuwa maskini wa akili, mali na roho
Ipo siku utazingua tu hii kitu huwa aina kujicontrol dawa nikuacha tu hapo ndiyo mwisho wa matatizo.
Hili swali ndio limesababisha wanawake wengi kupoteza bikra zao wakingali na umri mdogo."Hivi huwa wanajisikiaje?"
Hili swali ni la kipumbavu sana usikubali likuongoze kufanya maamuzi. Ishia hapo hapo kwenye bia.
Hapo unazingua, kunywa bia jioni baada ya kazi ndiyo utasikia utamu wake au weekend unapiga bia zako kadhaa na nusu ya nyama pedwa kavu au rost.Eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha tu, nimeamka na hilo wazo. Kazini naingia Mchana ikinizidi nalala tu naweka alarm Yangu ikifika saa sita hivi naamka najiandaa kazini hope pbe itakuwa imetoka
Jiandae kuwa maskini wa akili, mali na roho
Wewe ambaye hunywagi unamiliki Viwanda Vingapi vya Magari au Unamiliki makampuni mangapi ?? Acha kuwa na mawazo ya dizaini hiyo, Hata Biblia imesema tunapswa kuwa na kiasi kwa kila Jambo. Kutokuwa na kiasi katika kila Jambo ndio hupelekea watu Wehu, Walevi wakupindukia na Masikini.
Kwa mfano, ukiwa huna Kiasi kwenye mambo yako ya dini utakuwa masikini wa Kutupwa. So it is all about Temperance My fren
Good luck Op. Utu-update imeendaje.