Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Pombe zikiisha haujisikii vibaya, namaanisha kuhisi umefanya kitu ambacho usingependa kukifanya?Mimi hapana, kwanza mimi nikinywa huwa nakua mchangamfu sana na kama kuna watoto pembeni watafurahi nitawakusanya pamoja nakuanza kuwafundisha huwa inakuaga kituko sana ila wanainjoi, mimi huwa na kunywa kwa kiasi na pia huwa nazingatia mood,
Nilishajaribu Bangi ikanishinda..! Kitu ambacho siwezi jaribu ni Madawa ya Kulevya.
Unataka kunifundisha, wewe sahivi upo level gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Redds or savannah
Hiyo hutokea,Pombe zikiisha haujisikii vibaya, namaanisha kuhisi umefanya kitu ambacho usingependa kukifanya?
Haya Mambo ya kujaribu.
Kuna dogo alijaribu banana.
Alishindwa kutembea akabaki anacheka Cheka tu
Vip, kingereza kinamwagika sawa sawa, maana niliwahi sikia kuwa ukilewa kingereza unaongea kama maji nanavyo mwagika
Kuna mambo kama hujawahi kufanya ni suala lamkushukuru na kumwomba Mungu usithubutu kuyafanya.
Hata Gospel songs zikipigwa wewe haujali ni kucheza tu. Tena unaupenda mziki pale unaanza tu kabla haujajua hata ni wimbo gani wewe unakuwa umeshaupenda.
Bange safi sana ni mmea ambao una faida kem kem
desperado/smirnoff iceHivi bia gani inawafaa beginners
Hata Gospel songs zikipigwa wewe haujali ni kucheza tu. Tena unaupenda mziki pale unaanza tu kabla haujajua hata ni wimbo gani wewe unakuwa umeshaupenda.
Yeah, Or nodding head.Soo you have to keep dancing no matter how the music changes right?
Ushaambiwa kutumia kiingereza unatuongezea mzio Rafiki...inakua sawa na umepiga shoti kadhaa za tequilaYeah, Or nodding head.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna rafiki angu anacheza hadi matangazoHata Gospel songs zikipigwa wewe haujali ni kucheza tu. Tena unaupenda mziki pale unaanza tu kabla haujajua hata ni wimbo gani wewe unakuwa umeshaupenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna rafiki angu anacheza hadi matangazo
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app