TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu.
Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na atatoboa tu.
Wala wanaolilia sijuhi Tume Huru Katiba mpya si swala rahisi kama wanavyofikiria,ikulu patamu sana CHADEMA na vyama vingine wataishia tu kukaribishwa kula biliani la ikulu na kupiga picha na marais wapya kila wanapoapishwa,wafanye kazi sana kuitoa CCM ikulu si swala jepesi.