TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
kumbe wewe ndio yule mheshimiwa pale getini.Siku nyingi uwe unasalimia unapita watu hovyo bila salamu
kumbe wewe ndio yule mheshimiwa pale getini.
asante mheshimiwa ,nimependa customer care ya mjengoni ingekuwa idara zote wapo hivi raha sanaππKaribu tena kijana
Tuwekee picha BossHabari wadau..!
Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni,asikwambie mtu ikulu patamu.
Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mm nawaambia ni uongo ,yaani hata ningekuwa mm nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha.
Wala wanaolilia sijuhi Tume Huru Katiba mpya si swala rahisi kama wanavyofikiria,ikulu patamu sana CHADEMA na vyama vingine wataishia tu kukaribishwa kula biliani la ikulu na kupiga picha na marais wapya kila wanapoapishwa,wafanye kazi sana kuitoa CCM ikulu si swala jepesi.
unatafuta ID yangu??ππTuwekee picha Boss
Utapaona 'raha' kama agenda yako ni kujinufaisha mwenyewe lakini kama agenda yako ni 'maslahi ya taifa' aisee 'kizungumkuti'.Huku 'mabeberu' huku 'wananchi'.Yaani ni bonge la filamuuu.Habari wadau..!
Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni,asikwambie mtu ikulu patamu.
Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mm nawaambia ni uongo ,yaani hata ningekuwa mm nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha.
Wala wanaolilia sijuhi Tume Huru Katiba mpya si swala rahisi kama wanavyofikiria,ikulu patamu sana CHADEMA na vyama vingine wataishia tu kukaribishwa kula biliani la ikulu na kupiga picha na marais wapya kila wanapoapishwa,wafanye kazi sana kuitoa CCM ikulu si swala jepesi.
Kwani umeambiwa wanagawa pesa kule ?Ndio ulienda fuata ile 10m
Karibu tena siku nyingineHabari wadau..!
Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni,asikwambie mtu ikulu patamu.
Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mm nawaambia ni uongo ,yaani hata ningekuwa mm nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha.
Wala wanaolilia sijuhi Tume Huru Katiba mpya si swala rahisi kama wanavyofikiria,ikulu patamu sana CHADEMA na vyama vingine wataishia tu kukaribishwa kula biliani la ikulu na kupiga picha na marais wapya kila wanapoapishwa,wafanye kazi sana kuitoa CCM ikulu si swala jepesi.
Woga kabaki anapepesa macho kuangalia tausiSiku nyingi uwe unasalimia unapita watu hovyo bila salamu
Umemaliza. Itakuwa tunafahamiana mkuu babukijana .Waliofaidi hilo jumba BM na JK.
JK nakumbuka alikua waziri kijana enzi za BM.
Sasa akialikwa kuna shughuli mle ndani Wamama mawaziri wengine walikua wanapata tabu sana.
Jamaa nafkiri alitambaa nao wote kwa zamu.
BM yeye alikua hana time na wamama,
Ye ilikua vyombo tu Ballantine ,Whisky JD Twende Na Msosi Mle ndani haukauki Chef Samaki mkubwa kabisa anaeletwa pale feri anapelekwa mle ndani anapikwa mzima mzima.
Na jamaa BM alikua halali nyumba nyeupe.
Kuna Annex kule pembeni,akichoka tu huyooo Annex.
Huku mnabaki na mamma Anna na wadogo zake .
Hapo vyombo sasa ndio vinaliwa mpk kunakucha.
πumeshindwa kuwa mkimya tumekuruhusu umekuja kutangaza huku.
Siku nyingine utaishia getini.