Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

Ulichelewa sana
 
Na uchizi juu

Huyu mtu Ni chizi
 
Kwa kweli Kwa kauli za leo ni ushuhuda mtupu , hatuna MTU pale.
 
*Kiri
*Nakiri
 

Daaa hatari sana kwa kweli....nchi haina RAISI hata mwanangu angekuwa mshauri wa RAISI tena sema mama anafata mkumbo ha make decisions kabisa....Tunasema follow the leader...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…