Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

Haijapata tokea "rais" wa ovyo kama huyu aliyejiteua. Kama unadhubutu kujishika kiuno hadharani huku kamera zote zinakumulika huko kwenye vyumba vya Siri Hali itakuwaje🤔

Tanzania darkest moment
 
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.

High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.

Mungu nipe wepesi.
Naamini hata idara zimejionea na Kuna kitu wamejifunza japo hawatakili hadharani
 
Kumtetea Samia inahutajika nguvu kubwa ya roho ya shetani, yani ujivue akili kweli, Ila kama ulichukua hata miaka yako 2 ya High School nafsi inakusuta kabisa.
Kila nikijaribu kuamini huenda Samia atakuwa anaongea kama Rais unashindwa kumtofautisha na wale Wamama wa Mtaani aanaosutana kwenye vicoba.
Kwani Rais hajui jukum lake kweli?
 
Daaa hatari sana kwa kweli....nchi haina RAISI hata mwanangu angekuwa mshauri wa RAISI tena sema mama anafata mkumbo ha make decisions kabisa....Tunasema follow the leader...
Rais ukitaka awe wa TEC siyo??

Kenge nyinyi

Tunae huyu Insha Allah hadi 2030
 
Mimi nilijua tayari tupo gizani ila niliyosikia leo bado yamenishtua. Tuna safari ndefu sana kutoka hapa tulipo.
Sio safari tu. Yaani hio miaka 5 ni total darkness. Ni kama tulienda kwenye vigodoro tukachukua wale wadada wanasasambua tukampa nafasi ya uraisi. Naumia na nchi yangu. Polepole was right.
 
Sio safari tu. Yaani hio miaka 5 ni total darkness. Ni kama tulienda kwenye vigodoro tukachukua wale wadada wanasasambua tukampa nafasi ya uraisi. Naumia na nchi yangu. Polepole was right.
Ila kuchambana ndiyo jadi ya waswahili. Nakumbuka toka enzi za Magufuli nilishauri badala ya kukaa kinyonge, tunashindwa vipi hata kuajiri wadada wa kiswahili wawachambe na kuwasuta watekaji?

Wakenya wanafanya kile waswahili mlitakiwa mfanye zamani tu. Mlitakiwa mumtolee mkeka muanze kumsuta....mnakwama wapi?
 
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.

High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.

Mungu nipe wepesi.
Matatizo yanatokana na watu kama wewe unayegawa hiyo miaka kumi kwake; kwani wewe ni nani hadi uwaamulie waTanzania jambo la kijinga namna hiyo!
 
Mhh mbona kama rais anafanya majibizano na raia ilihali inafahamika fika chanzo cha hii mikwaruzano ni kipi? mbona kama akihutubia kwa style hii mara 10 tu jazba na vinyongo vitakuwa maradufu?
Mbona kama kuna wahisani anarushiana nao kejeli za gizani sisi na wao nani mwenye nguvu??
Mbona kama hakuna rais ana hasira, furaha ya ushindi wa 97% imempalia?
Mbona kama hii miaka 5 ijayo tutakuwa na wimbo mpya, sio ule wa maendeleo na kusonga mbele maana maadui wapo ndani na nje, tunawaza kujilinda kuliko kusonga mbele?
Mbona kama rais hayupo sawa kiakili, na PM wake tuseme amsaidie ndiyo hamna kitu hata kujenga hoja tu hawezi?
Ngachoka
 
Back
Top Bottom