Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

Empty set kabisa. Nimesikitika sana aisee. Nimeumi sana. Hata balozi wa nyumba kumi anaweza kuwa na uwezo mkubwa kuliko. How come tukaongozwa akili ndogo kiasi hiki.
Tena ndio kwanza anasema ataendelea kufanya hivyo. Yaani aendelea kushindana kuuwa kama nao wanavyo ua daaah!
 
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.

High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.

Mungu nipe wepesi.
Umemkosea Gigy Money. Hiki tunachokiona ni chini ya chini.

Hivi inakuwaje taifa linaweza kuwa na wasomi kibao halafu linapata viongozi fulani hadi unashangaa imekuwaje? Nini huwa kinatokea?
 
Hakuna siku nimeumia kama leo. Sina mudi ya kufanya kazi kabisa. Off all 60 mil. people kweli? Hapana. Nchi iko gizani kuliko nilivofikiri.
 
Mwanamke ni chombo cha starehe.
Hichi alichokipambania kukiiba mpk akipate sio rahisi km kumpamba bibi harusi
 
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.

High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.

Mungu nipe wepesi.
Umechelewa
 
Kwahiyo Rais ni wa TEC tuh si ndiyo?

Jitie vidole kama hutaki kuwa yeye ni Rais wako
 
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.

High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.

Mungu nipe wepesi.

Tanzania Ina Rais tena mwenye uzalendo wa nchi yake hapendi Ufisadi
 
Back
Top Bottom