Tena ndio kwanza anasema ataendelea kufanya hivyo. Yaani aendelea kushindana kuuwa kama nao wanavyo ua daaah!Empty set kabisa. Nimesikitika sana aisee. Nimeumi sana. Hata balozi wa nyumba kumi anaweza kuwa na uwezo mkubwa kuliko. How come tukaongozwa akili ndogo kiasi hiki.
Umeona alivyomalizia sasa? Chalamila alisema hotuba ya leo ni ya kuponya majeraha! Umeona alichoongea? Inaumiza sanaBado anaendelea jamani
Tulieni amalize
Umemkosea Gigy Money. Hiki tunachokiona ni chini ya chini.Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Hakuna siku nimeumia kama leo. Sina mudi ya kufanya kazi kabisa. Off all 60 mil. people kweli? Hapana. Nchi iko gizani kuliko nilivofikiri.Umemkosea Gigy Money. Hiki tunachokiona ni chini ya chini.
Hivi inakuwaje taifa linaweza kuwa na wasomi kibao halafu linapata viongozi fulani hadi unashangaa imekuwaje? Nini huwa kinatokea?
Mimi nilijua tayari tupo gizani ila niliyosikia leo bado yamenishtua. Tuna safari ndefu sana kutoka hapa tulipo.Hakuna siku nimeumia kama leo. Sina mudi ya kufanya kazi kabisa. Off all 60 mil. people kweli? Hapana. Nchi iko gizani kuliko nilivofikiri.
UmechelewaKwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Kwahiyo Rais ni wa TEC tuh si ndiyo?Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Fanyeni mje hiyo D9 au x mass tuwagonge tigo hizoHuyu mazeli ni kilaza pro max
TEC WALIDHANI HIZI NI ZILE ZAMA ZA KUWAPETI PETI KENGE HAWAUlitaka aseme nini zaidi? Mbona mnajipa umuhimu msiokuwa nao?
Wait n seeFanyeni mje hiyo D9 au x mass tuwagonge tigo hizo
Then?Huyu blood thirsty vampire woman.........ni tabulalasa aliekubuhu.
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Hauogopi mende kuzama kwenye koromelo? 🤠🤠🤠Nimebaki mdomo wazi 😁