Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Tatizo watu walijiandalia hotuba ya Rais kila mmoja na yake. Kumbe Rais ana hotuba yake.TEC WALIDHANI HIZI NI ZILE ZAMA ZA KUWAPETI PETI KENGE HAWA
Naamini hata idara zimejionea na Kuna kitu wamejifunza japo hawatakili hadharaniKwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Nilikuwa nafikiri hivyo.Sio binadamu wa kawaida huyu mama, unadhani
Njooni road tule hizo tigoHuyu hata gigy money ana afadhali
Rais ukitaka awe wa TEC siyo??Daaa hatari sana kwa kweli....nchi haina RAISI hata mwanangu angekuwa mshauri wa RAISI tena sema mama anafata mkumbo ha make decisions kabisa....Tunasema follow the leader...
Sawa tukutane Desemba 9Njooni road tule hizo tigo
Sio safari tu. Yaani hio miaka 5 ni total darkness. Ni kama tulienda kwenye vigodoro tukachukua wale wadada wanasasambua tukampa nafasi ya uraisi. Naumia na nchi yangu. Polepole was right.Mimi nilijua tayari tupo gizani ila niliyosikia leo bado yamenishtua. Tuna safari ndefu sana kutoka hapa tulipo.
Ila kuchambana ndiyo jadi ya waswahili. Nakumbuka toka enzi za Magufuli nilishauri badala ya kukaa kinyonge, tunashindwa vipi hata kuajiri wadada wa kiswahili wawachambe na kuwasuta watekaji?Sio safari tu. Yaani hio miaka 5 ni total darkness. Ni kama tulienda kwenye vigodoro tukachukua wale wadada wanasasambua tukampa nafasi ya uraisi. Naumia na nchi yangu. Polepole was right.
Wakenya wanafanya kile waswahili mlitakiwa mfanye zamani tu. Mlitakiwa mumtolee mkeka muanze kumsuta....mnakwama wapi?
Matatizo yanatokana na watu kama wewe unayegawa hiyo miaka kumi kwake; kwani wewe ni nani hadi uwaamulie waTanzania jambo la kijinga namna hiyo!Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuHivi alikuwa anatoa kichwani!? Huo uharo ni fedheha sana hata mtoto mdogo hawezi fanya
Bro hata huwezi kutamani kulisikiliza! Lile Maza ni zero brain promax!Sijasikikiza utumbo wake anasemaje
Lile maza lilistahili liwe na kazi ya kuhesabishwa mabati tu!Hatuna Rais