nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Kumbe wewe ni maskini 😊☺️Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
AV multi ndo unakazi gani?Audio Out from decorder---- mpaka kwenye bufa Audio In (hizo nyaya zinakuwa two by two) Alternative Ukipata AV mult imekaa kamshange sana mkuu
sawaKumbe wewe ni maskini 😊☺️
Naomba unipe alternative ili nipate sauti kupitia sabufa mkuuHdmi inasafirisha picha na sauti kwa wakati mmoja
Sasa hdmi si unachomeka kwenye tv so sauti itatokea kwenye tv.Hdmi inasafirisha picha na sauti kwa wakati mmoja
nashukuru kwa ufafanuzi boss wanguSasa hdmi si unachomeka kwenye tv so sauti itatokea kwenye tv.
Yeye anataka subwoofer
Hata wewe unaweza kua maskini wa FikraKumbe wewe ni maskini 😊☺️
Kifaa flani mkuu kazi yake unaconnect na kucontrol sound inayotoka kwenye TV,decorder,redio etcAV multi ndo unakazi gani?
Sawa nielekeze nikiupata hapo nichomeke vip?Kifaa flani mkuu kazi yake unaconnect na kucontrol sound inayotoka kwenye TV,decorder,redio etc
sauti katika TV naichukua vip? na Waya upi? samahani lakiniChukua sauti ktk TV... au kama TV ni Smart unganisha Bluetooth ya TV na radio.
Kwa sasa nimetoka kidogo boss ila nimetoa maelekezo yapo sawa sawaMleta uzi kwa ushauri zaidi (sina decoder yeyote) piga picha nyuma ya decoder na nyuma ya subwoofer.
Nionyeshe hapa nikuelekeze
Waya ninao bossNunua ule waya ambao upo kama wa earphone na upande mwingine una red na white iyo red na white chomeka ktk sabufa na iyo ya phone weka ktk tv mkuu pole tungekuwa karibu ningekusaidia fasta.