ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,889
- 3,326
Ndo huo sasa fanya ivo tajiriWaya ninao boss
Ndo huo sasa fanya ivo tajiriWaya ninao boss
asante bossHiyo waya ya two in one chomeka kwenye audio output ya TV then kwa sabufa. Kisha kwenye sabufa weka LAN IN as source. Then boom enjoy.
nashukuru,Ndo huo sasa fanya ivo tajiri
Sawa nielekeze nikiupata hapo nichomeke vip?
Achukulie sauti toka kwenye tv kwenda kwenye woofer kwa kutumia RCA au kama ina support optical itakuwa poa zaidiSasa hdmi si unachomeka kwenye tv so sauti itatokea kwenye tv.
Yeye anataka subwoofer
redio iko mbili white and red, je nyingine inatoka wap?View attachment 3324129Umeona hizo nyaya (Nyeupe,Njano na Nyekundu Zinavyochomekwa vivyo hivyo na kwenye redio sehemu ya Audio Input Unachomeka Hizo Nyaya Zote (Nyeupe,Njano na Nyekundu) Leta Mrejesho
nipe link bossUliza chat gpt itakuelekeza kila kitu mpaka utashangaa.
RCA ndo nini mkuuAchukulie sauti toka kwenye tv kwenda kwenye woofer kwa kutumia RCA au kama ina support optical itakuwa poa zaidi
Chomeka hiyo white and red achana na hiyo ya Njanoredio iko mbili white and red, je nyingine inatoka wap?
+18002428478nipe link boss
nimetest haiko wasap boss+18002428478
Save namba kisha unachat nayo WhatsApp, inasaidia mambo mengi sana katika shughuli za kila siku.
Huu ninao mkuuPole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.
Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.
Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tu😁
View attachment 3324142
Hii unayo?
Pole, fanya hivi, chomeka palipo andikwa out kwenye king"amuzi huo waya uchomeke kwenye subwoofer palipo andikwa in angalizo sehemu iyenye rangi nyekundi na nyeupe huwakilisha sauti ya njani pichaNimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
Ni hiyo cable yenye wire tatuRCA ndo nini mkuu
Ni vizuri zaidi ukichomeka toka kwenye king'amuzi kwenda kwenye subwoofer na siyo Tv kwenda kwenye subwooferasante boss
ndo imegoma kutoa sautiNi vizuri zaidi ukachomeka toka kwenye king'amuzi na siyo kwenye Tv kwenda kwenye subwoofer
Kwa king'amuzi kuna tundu la AV bossPole, fanya hivi, chomeka palipo andikwa out kwenye king"amuzi huo waya uchomeke kwenye subwoofer palipo andikwa in angalizo sehemu iyenye rangi nyekundi na nyeupe huwakilisha sauti ya njani picha
Lete mrejesho