Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

Kwa king'amuzi kuna tundu la AV boss
Sawa chomeka audio output toka kwenye tv kwenda subwoofer, mara nyingi toka kwenye tv kwenda kwenye subwoofer huwa kuna muungurumo japo hutegemea aina ya tv, kama utapata muungurumo julisha tujue nini cha kufanya

Unaongea na fundi
 
sauti katika TV naichukua vip? na Waya upi? samahani lakini
Kwenye TV kuna sehemu pakuchomeka waya, sehemu yenyewe ni tofauti na sehemu ya HDM, sehemu yake kuna tundu waya wake unakua ule wa DVD au Decorda za Star times.
 
Kwenye TV kuna sehemu pakuchomeka waya, sehemu yenyewe ni tofauti na sehemu ya HDM, sehemu yake kuna tundu waya wake unakua ule wa DVD au Decorda za Star times.
ndo hapa nilikua nashangaa decoda ya star times ilikubali, ila dstv inagoma
 
Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
Umekosea hivyo ulivyo connect hata ukiweka flash kwenye tv usezi kupata sauti kupitia woof angalia kwenye tv yako kama kuna pin ya kuchomeka headphones..kama ipo chomeka kwanza headphones kusikia kama inaongea ...kama inaongea ninua wire wa stereo j to AV ..kisha uchomeke kwenye tv hiyo pini yake ya kama headphones na pin nyekundu na nyeupe zichomeke kwenye (input ya subwoof...kisha ste subwoof yako kwenye input(AUX) KAZI IMEISHA
 

Attachments

  • Screenshot_20250504-103150_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20250504-103150_Samsung Internet.jpg
    180.4 KB · Views: 22
Pole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.

Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.

Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tu😁

View attachment 3324142
Hii unayo?

Kama ni smart TV tumia bluetooth.
Mkuu kila Smart Tv zina Bluetooth?
Mimi nina Sony Smart Tv lakini haina Bluetooth
 
Pole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.

Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.

Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tu[emoji16]

View attachment 3324142
Hii unayo?

Kama ni smart TV tumia bluetooth.
Sio smart tv zote Zina Bluetooth mkuu
 
Mkuu kila Smart Tv zina Bluetooth?
Mimi nina Sony Smart Tv lakini haina Bluetooth
Nilifikiri smart TV zote zina bluetooth ila kuna mdau hapo kasema sio zote.
🤝🤝🤝🤝
 
Nilifikiri smart TV zote zina bluetooth ila kuna mdau hapo kasema sio zote.
🤝🤝🤝🤝
Itakua kweli Smart yangu nimeangalia nimeona imetengenezwa Mwaka 2018 ina maana ni Smart za mwanzo Mwanzo
 
Tafuta ule waya wa sauti wny midomo miwili mweupe na mwekundu halafu upande mwngn una mdomo wa earphone ksha nenda kwny tv yako tafuta ulipo mdomo kama wa earphone chomeka huo waya hapo kwny tv ksha ile midomo miwili nenda nyuma ya subwoofer yako kuna midomo miwili chomeka huo waya palipo na rangi nyekundu chomeka palipo na weupe chomeka hakiksha woofer yako iwe upande wa aux utapata mzk.
 
Back
Top Bottom