Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

Hiyo waya ya two in one chomeka kwenye audio output ya TV then kwa sabufa. Kisha kwenye sabufa weka LAN IN as source. Then boom enjoy.
 
Sasa hdmi si unachomeka kwenye tv so sauti itatokea kwenye tv.

Yeye anataka subwoofer
Achukulie sauti toka kwenye tv kwenda kwenye woofer kwa kutumia RCA au kama ina support optical itakuwa poa zaidi
 
Uliza chat gpt itakuelekeza kila kitu mpaka utashangaa.
 
Pole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.

Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.

Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tu😁


Hii unayo?

Kama ni smart TV tumia bluetooth.
 
Huu ninao mkuu
 
Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
Pole, fanya hivi, chomeka palipo andikwa out kwenye king"amuzi huo waya uchomeke kwenye subwoofer palipo andikwa in angalizo sehemu iyenye rangi nyekundi na nyeupe huwakilisha sauti ya njani picha

Lete mrejesho
 
Pole, fanya hivi, chomeka palipo andikwa out kwenye king"amuzi huo waya uchomeke kwenye subwoofer palipo andikwa in angalizo sehemu iyenye rangi nyekundi na nyeupe huwakilisha sauti ya njani picha

Lete mrejesho
Kwa king'amuzi kuna tundu la AV boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…