Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Sawa chomeka audio output toka kwenye tv kwenda subwoofer, mara nyingi toka kwenye tv kwenda kwenye subwoofer huwa kuna muungurumo japo hutegemea aina ya tv, kama utapata muungurumo julisha tujue nini cha kufanyaKwa king'amuzi kuna tundu la AV boss
Mkuu acha KUDANDIA VITU BUTU KWA MBELEE.Hata wewe unaweza kua maskini wa Fikra
Kwenye TV kuna sehemu pakuchomeka waya, sehemu yenyewe ni tofauti na sehemu ya HDM, sehemu yake kuna tundu waya wake unakua ule wa DVD au Decorda za Star times.sauti katika TV naichukua vip? na Waya upi? samahani lakini
ndo hapa nilikua nashangaa decoda ya star times ilikubali, ila dstv inagomaKwenye TV kuna sehemu pakuchomeka waya, sehemu yenyewe ni tofauti na sehemu ya HDM, sehemu yake kuna tundu waya wake unakua ule wa DVD au Decorda za Star times.
Umekosea hivyo ulivyo connect hata ukiweka flash kwenye tv usezi kupata sauti kupitia woof angalia kwenye tv yako kama kuna pin ya kuchomeka headphones..kama ipo chomeka kwanza headphones kusikia kama inaongea ...kama inaongea ninua wire wa stereo j to AV ..kisha uchomeke kwenye tv hiyo pini yake ya kama headphones na pin nyekundu na nyeupe zichomeke kwenye (input ya subwoof...kisha ste subwoof yako kwenye input(AUX) KAZI IMEISHANimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
Pamoja kiongoZi nimekupata,Mkuu acha KUDANDIA VITU BUTU KWA MBELEE.
MSHIKAJI NIPO ONLINE HUWA NAMTANIA USICHUKULIE KILA KITU SERIOUSLY π
Mkuu kila Smart Tv zina Bluetooth?Pole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.
Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.
Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tuπ
View attachment 3324142
Hii unayo?
Kama ni smart TV tumia bluetooth.
Yeah hii pia ni njiaAchukulie sauti toka kwenye tv kwenda kwenye woofer kwa kutumia RCA au kama ina support optical itakuwa poa zaidi
Tumia 2 in 1 kutoa sauti kwenye tv kwenda kwenye subwoofer.sauti katika TV naichukua vip? na Waya upi? samahani lakini
Sio smart tv zote Zina Bluetooth mkuuPole sana mkuu.
Kwa upande wangu huwa nafanya trial and error.
Hata radio ikizingua kabla sijaipeleka kwa fundi naifungua mwenyewe nakorokochoa, ikinishinda ndo napeleka kwa fundi.
Kitu ambacho sijawahi kufungua labda TV tu[emoji16]
View attachment 3324142
Hii unayo?
Kama ni smart TV tumia bluetooth.
Ooh! Basi nilifikiri zote zina bluetooth mkuu.Sio smart tv zote Zina Bluetooth mkuu
Nilifikiri smart TV zote zina bluetooth ila kuna mdau hapo kasema sio zote.Mkuu kila Smart Tv zina Bluetooth?
Mimi nina Sony Smart Tv lakini haina Bluetooth
Yangu haina nashangaaSio smart tv zote Zina Bluetooth mkuu
Itakua kweli Smart yangu nimeangalia nimeona imetengenezwa Mwaka 2018 ina maana ni Smart za mwanzo MwanzoNilifikiri smart TV zote zina bluetooth ila kuna mdau hapo kasema sio zote.
π€π€π€π€
Kabisa mkuu, nipo online anawaona wenzake mambwiga. Utakuta yupo maskani anakula zake msuba.Huyu kaamua kuwachosha tu!!
Aux.. TV yako haina hicho kitobo?sauti katika TV naichukua vip? na Waya upi? samahani lakini