Kwa mara ya kwanza nashuhudia mfuko wa NHIF haufanyi kazi

Kwa mara ya kwanza nashuhudia mfuko wa NHIF haufanyi kazi

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Siku ya leo nilienda hospital fulani hapa mjini lakini cha ajabu waka tuambia mfumo wa NHIF haifanyi kazi kwahiyo tuache Kadi.

Wakatuambia pia kwamba iwapo mfumo hautafanya kazi basi watatutafita na itatulazimu kulipa kwa cash.
 
Tatizo kubwa la Mifumo ya Tehama utaikuta kwny Taasisi za Umma

tatizo ni si mifumo yenyewe
 
Nadhani wana shida kwenye mfumo wao, jana nilikwenda ofisi zao za ilala sikuweza kupata huduma kwa maelezo kuwa mtandao unasumbua.
 
Tufanye mazoezi,tule kwa afya na tuwe wasafi

Maana huku tunapoelekea na madaktari wetu wanadoji vipindi huko chuoni
 
Back
Top Bottom