Kwa mara ya kwanza nashuhudia mfuko wa NHIF haufanyi kazi

Hata namba yao ya dawati la msaada ambayo ni 0800110063 kwa sasa ina siku kadhaa haifanyi kazi. Au wao NHIF wenyewe wamefanya makusùdi mfumo usifanye kazi kwa siku au muda fulani na pia wasiulizwe chochote kwa simu kupitia help desk kwa kipindi hicho.
 
Fanyeni mazoezi ili msijazane hospitalini
Kwa nini mnakuwa na hoja za kindezi namna hii nyie? Hivi hamna hata Habari kwamba huu mfuko umeyumba? Mbona hata Waziri wa afya aliwapiga stop walipotaka kuweka mfumo wa wanachama kutibiwa kwa ratiba?? Jadilini hoja iliyoletwa badala ya kujadili mifumo ya maisha ya watu, kwa sababu hata kama unafanya mazoezi unaweza kupata ajali hata huko huko mazoezini , au panya road wakakucharanga mapanga. Tukirudi kwenye mada mimi nadhani kuna tatizo la kuusimamia huu mfuko, mnakumbuka kuna kipindi huu mfuko ulitoa gawio serikalini?? Si ndiyo hawa hawa? Au am wrong?? Kingine mimi nakatwa fedha kila mwezi kwa zaidi ya miaka 15.. Kuna kipindi nakaa miaka 2 sijaenda hospital mimi au familia, sasa inakuwaje? Bima ya afya maana yake ni kwamba watu 1000 mnachangia kila mwezi halafu kwenye huo mwezi labda wabaumwa watu 300 tuu..
 
Ila kuna baadhi ya watu wanakunywa dawa hadi unajiukiza hivi ni kweli hivi vidonge ni sumu mwilini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukute una Ngoma Kisukari Presha na Moyo umevimba Vidonge sio chini ya ishirini kwa siku.

Halafu baada ya muda unaambiwa na Inni kamoze, Luis Figo, nao wameyoyoma more vishikwambi, daah! Bongo Republik hiyo.
 
Nilikwenda jana Rabininsia wakaniambia hivyo. Niliacha card na sijui ntaenda tena lini kuifuatilia
 
Tatizo wabongo afya mbovu, kila siku hospital lazima nhif ife.
Umechagua shortcut badala ya kupambana na ukweli , nssf inasumbua wastaafu, kwamba nao wamekuwa wengi?
 
Kwa nini mnakuwa na hoja za kindezi namna hii nyie? Hivi hamna hata Habari kwamba huu mfuko umeyumba? Mbona hata Waziri wa afya aliwapiga stop walipotaka kuweka mfumo wa wanachama kutibiwa kwa ratiba?? Jadilini hoja iliyoletwa badala ya kujadili mifumo ya maisha ya watu, kwa sababu hata kama unafanya mazoezi unaweza kupata ajali hata huko huko mazoezini , au panya road wakakucharanga mapanga. Tukirudi kwenye mada mimi nadhani kuna tatizo la kuusimamia huu mfuko, mnakumbuka kuna kipindi huu mfuko ulitoa gawio serikalini?? Si ndiyo hawa hawa? Au am wrong?? Kingine mimi nakatwa fedha kila mwezi kwa zaidi ya miaka 15.. Kuna kipindi nakaa miaka 2 sijaenda hospital mimi au familia, sasa inakuwaje? Bima ya afya maana yake ni kwamba watu 1000 mnachangia kila mwezi halafu kwenye huo mwezi labda wabaumwa watu 300 tuu..
Ndugu yangu yale masuala ya gawio yalikuwa ni maigizo tu. Taasisi na Makampuni yalikuwa yanalazimishwa kutoa wakati yalikuwa yamepata hasara na gawio lilikuwa linatakiwa litokane na faida.
 
Back
Top Bottom