Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Wewe endelea kupiga blaa blaa tu wakati Rufiji imeshazama huko. Mnakurupuka kuanzisha miradi ambayo haijafanyiwa full EIA matokeo yake ndio hayo.
Tehran na huko UAE tunawaombea pia Mwenyezi Mungu awape subra kwa majanga ya mafuriko wanayopitia πŸ’

Hata hivyo maombi yetu ya nguvu sana Kwa Mungu ni kuwambea watu huko rufiji, mbeya, Arusha, Morogoro, singida, manyara Lakini na maeneo yote wanakopitia changamoto ya majanga haya ya asili πŸ’

wito,
ni kwa wale wote ambao wako maeneo ya mabondeni kujisalimisha wenyewe mapema kwenye maeneo salama ili kuepuka na Usumbufu, uharbifu na pengine maafa πŸ’

Tunapongeza kamati ya maafa kitaifa kwa kushirkiana bega kwa bega na kamati za maafa mikoa na wilaya kuratibu zoezi la uokozi na misaada kwa waathirika wa mafuriko maeneo hayo πŸ’

Mungu awajalie bidii na moyo wa ukarimu zaidi 🌹
 
Story ya David Silinde ndiyo wewe ?
 
Sasa hizo barabara mbovu umewarekebishia wananchi au ndio karibu na uchaguzi unaenda kuwachongea na greda afu watajiju!! 🀣🀣🀣🀣
Hao wananchi walikuwa na imani kubwa na wewe usiwaangushe sasa.!!
yayayayayyyyyaaaa barabara tena?πŸ’

njoo hata uwe na Corolla, benzi IST au kagari kadogo namna gani unapita bila tashwishwi yeyote πŸ’

nimeskuma mpaka barabara kuu za kuunganisha mikoa yote ziliyopita kimboni kwa lami, una fa mchezo nini....

maeneo machache sana ya huko milimani ndio hua naendaga na mwa ndinga zangu matata sana, na hii 110 ndio naipendaga sana maana inapandaga milimani bila tashwishwi yeyote πŸ’
 
Since 2013?
11 years ago, nishazeeka mrembo.

Nakumbuka interview yangu na @lara1, anajibu maswali yangu kwa kunitukana huko huko. 😁

Na kampeni yake ya No Free P πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Rudisha ss hivi ndio utaenjoy utakutana na vizazi vya Lilith hivyo vinafunguka balaa.!! Show itabamba kinouma nakwambia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah!! πŸ˜„
 
Safi sana, haya tuendelee na story nakumbuka na kura nilikupigia ujue 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…