Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuu🤣🤣🤣🤣
kwahiyo unadharau akina mh shigongo na Dr. Kasheku msukuma?

kwan huyu mchapakazi sana kwenye sekta ya maji aliingiaje mjengoni, alitoka wapi 🐒

halafu,
Let me tell you,
huko kwa hiyo chama ambayo niligombea tulikua zaidi ya wa gombeaji 10, wa2 wlikua graduates, moja alikua ni Dr, mimi nilikua nimemaliza masomo nilikua graduate in waiting....

the rest walikua walimu, ila sio graduates, makada wa chama na business mens and womens...

Na kuna very powerful taycoon moja nae alikua mgombea, he was very clear kwamba mbele za wanachama, kwamba yeye ni std7 na anataka kusaidia maendeleo ya jimbo, anaomba kura na ridhaa ya wanachama.full stop 🐒

this senear tycoon nilimuogopa kidogo 🐒
But wasio na shule wapo na wanaujasiri kabisaaaa wa kushinda Uchaguzi 🐒
 
Back
Top Bottom