Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
👊 Thank you very much kuwapa moyo vijana 🌹

but mie sio silinde, mwacheni naibu waziri yuko bize na majukumu mazito sana kwa sasa...
Nadhani hana muda na chochote ispokua hoja zilizopo mbele yake mjengoni 🐒
 
David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
Tena Silinde walimpitisha makusudi sababu watu wa Tunduma waliichoka CCM na maujinga yao.!!

Hata 2015 walimrudisha jimboni kwao kwa wanyamwanga wenzake agombee walitaka kumdhulumu, wee walikiwasha mpk wakamtangaza..!!

2020 aligombea kwa tiketi ya CCM wajumbe wakamla kichwa, akapita Aden. Ila Magu akawaambia wampe Silinde ili kuwakomesha CDM. Ndio hivyo analisongesha na unaibu juu.

Ila ile Tunduma ina raia wajeuri sana wako radhi wapitishe hata jiwe ila sio CCM
 
concerning tunduma politics, I will comment on the other day 🐒
 
Back
Top Bottom