Mishangazi unayoshinda unatongozana nayo itakupa Connection... endelea kupoteza muda tu, uje u-graduate na ngoma na Ka-GPA kako ka mbili "2" ndo uone kwann aloevera ni chungu [emoji4][emoji1474]
We nae ndege tai acha kumpa mawazo huyo Zwazwa kwa pesa zake za kufikirika na kutunga hapa.Usisahau zaka na sadaka hapo tenga kama millioni 1.. then hIyo million 5 iliyobaki nunua uwanja mkubwa sana hata wa million 3 then 2 nenda nayo taratbu kwa mambo mengine
NB; USISAHAU KUJIPONGEZA KWA KUFANYA JAMBO LINALOKUPA FURAHA SANA
Kwani unafkiri simjui huyo dogo π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Mwambie huyo, tukimwambia sisi hasikii!!
unanifahamu kivipiKwani unafkiri simjui huyo dogo π
WENGE SANA HUYO MTOTO
Kwani unafkiri simjui huyo dogo [emoji4]
WENGE SANA HUYO MTOTO
Mshahara huo ni kampuni gani na kwa fani gani na kwa elimu gani we ZWAZWA?! au wanakukula kiboga?! Okay! Hiyo ni take home, what's an exact amount mliyokubaliana na Kodi ukatwe kiasi gani ibaki 8M?!Milioni 8
Jidanganye hivyohivyo... tunakuchora tu πunanifahamu kivipi
we jamaa hauko sawaJidanganye hivyohivyo... tunakuchora tu π
Kwahiyo hata kama ualimu ndo udanganye watu unalipwa 8M... shule gani?! Hata Feza, DIS, Braeburn, HOPAC, Academic, Aga-Khan, Shaaban Robert, St.Constatine na IST hawalipwi hivyoUalimu
Au sio ππππππππππππ€€π€€we jamaa hauko sawa
sema tuishi tu
Msumali wa chumaSema nini watoto wa kiume wakati mwingine tunazingua sana, kwa nini usimtumie mzee hiyo pesa ukizingatia yeye ndiye kichwa cha familia
Watoto wetu watakuja kututendea hivyohivyo tukishazeeka. Hapo ndo ujue wanaume tumeumbwa mateso
junior employee and fresh from college with no job experience anakula take home ya 8 million. bongo raha sana aise.
Subiri muda si mrefu utakuwa wewe sawa πππΎwe jamaa hauko sawa
sema tuishi tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Vijana wa wakishakula na kushiba huko keko magurumbasi kwa mashemeji zao na bando zao za buku jero huwa wana shida sana! Wanaandika tu hata wasivyovijua MAANINA! [emoji23]
Muulize kwanza yuko level gani?! Kama ni cheti achana nae katafute vijana wanaojitambua walio compentent na wanaojua wanachokifanya huko LinkedIn...Unanifaa. Muda wa kumaliza ukikaribia ni-PM. Punguza woga wa maisha mdogo wangu. Humu JF kuna kila kitu, endapo ukiitumia vizuri lakini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huendi mbingunii weeBabu nahaha naye nikiwa na margarita shots [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu yeye muda huo katulia kwenye pick up yake ya mkaa
Vitoto vya JF visenge sana hivi... vinasoma username zetu vinahisi tuko tunateseka wote, au vinatafsiri na kuhisi tutakuwa tunasota pamoja kumbe neno linaweza kuwa na maana zaidi ya kumi! Wacha vidanganyaneMimi nisha retire binti yangu, and by the time mimi nashika laki 4, probably wewe ulikuwa hujazaliwa au mostly likely ulikuwa bado unanyonya vidole. Anyways, enjoy your youth na hizo imaginary fantasy zako. I have grandsons pia wenye fantasy kama zako, tofauti tu ni kwamba at least wao wapo in a country where hizo USD 3500 ain't a big deal to stress them out. Uwe na amani ππΎ
Nna CPA na ACCIA, masters mbili ya Finance and investment na Tax... nafkiri ntakunja 18M π ππΎUkilipwa 12m Mkuu, mimi na Uwakili wangu ntalipwa 15m kwa hiyo organisation yao ππ