Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Hivi wale wanaofanya Kwa UN organisation kama UNHCR kwenye Kambi za wakimbizi wanaweza kuwa wanalipwa ngapi
 
Kuna usemi huwa nauona kwenye picha ya gari kubwa la mizigo unasema "Nahangaika usiku kucha,ili watoto wangu wakikua waimbe nani kama mama"

Yaani sacrifices zote alizofanya baba yako kukulea na kukusomesha ,kujinyima kwa ajili Yako na ndugu zako,ili mradi tu msome na kukua katika nazingira mazuri haujaziona,umeona mama ndiye anastahili sehemu ya mshahara wako wa kwaza,sio baba?Kwa mujibu Maelezo yako ni kwamba mpaka unaondoka kwenda kuanza kazi ulitoka mikononi mwa baba.Lakini unamuona kama kibwengo tu.Haukusema kwenye Maelezo yako kuwa mama pekee ndiye alikusomesha.Basi ungefabya fair,ukagawa hiyo hela nusu kwa baba ,nusu kwa mama.

Uzuri wa haya mambo ni kuwa wewe ni mwanaume.Utaanzisha familia.Mtapata watoto.Utalala tongo macho ukiwauguza,ukibembeleza wakilia,ukikesha kazini kutafuta mahitaji yao .Utapata stress pale mambo yasipoenda vizuri na mama Yao atakuwa anakuangalia tu, bila msaada wowote kwakuwa wewe utakuwa ndiye kichwa cha familia.Mwisho wa siku watoto wako watakua na kundoka nyumbani.Watatuma hela kwa mama yao,bila wewe kujua na watakuwa wakiimba NANI KAMA MAMA.
 
Hiyofeeling uliyoipata, ikufanye upige mambo zaidi ili uipate zaidi
 
Kabla hujamaliza chuo hakikisha una demu wa uhakika wa mwaka wa kwanza, asiwe wa hostel lakini. Utakuja kunishukuru Mkuu.

Wakati unajitafuta atakuwa mtu muhimu sana kwako.

NB: Uhakika sio wa msambwanda na utelezi. Ni uhakika wa uchumi wa Ba Mkwe 😂😂
 
Hongera mkuu kila la kheri
Ubarikiwe
 
Ko umebaki na 6million cash? Emu ni piem kuna maelekezo muhimu nataka kukupa [emoji4][emoji4]
Sasa akupm wewe pm yako si imefungwa Na kuchomewa welding kabisa, itabidi tuite mafundi Kwanza kuja kuvunja kama alivyofanya insider kwenye nyumba ya Irene[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…