Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Brother watu wanalipwa hio hela sitaki kushikilia point ya jamaa ya kulipwa hio hela lakini hicho kiwango watu wanalipwa nina uhakika kabisa.
Kulipwa wanalipwa ila sio beginners,
Hapo danganyanyeni tu wenyewe. Seniors ndo wanapokea hio hela. Usd 3500 bongo upewe graduates ambaye huna experience yeyote..?? Hell no, nakataa.
Tumekaa Houston Texas na hio hela unalipwa baada ya kupigika sana na kazi, sembuse bongo, kadanganyeni watoto wenu huko.
 
Kabla hujamaliza chuo hakikisha una demu wa uhakika wa mwaka wa kwanza, asiwe wa hostel lakini. Utakuja kunishukuru Mkuu.

Wakati unajitafuta atakuwa mtu muhimu sana kwako.

NB: Uhakika sio wa msambwanda na utelezi. Ni uhakika wa uchumi wa Ba Mkwe [emoji23][emoji23]
Okay [emoji3526]
 
Kulipwa wanalipwa ila sio beginners,
Hapo danganyanyeni tu wenyewe. Seniors ndo wanapokea hio hela. Usd 3500 bongo upewe graduates ambaye huna experience yeyote..?? Hell no, nakataa.
Tumekaa Houston Texas na hio hela unalipwa baada ya kupigika sana na kazi, sembuse bongo, kadanganyeni watoto wenu huko.
Mbona kama umepanic mzee wa Texas [emoji28][emoji28][emoji28]..we baki na laki nne yako
 
Asante Mungu wewe huna choyo. Jina lako lipewe sifa, baba bariki na wengine ambao hawana kazi wapate hata kidogo.

Baba wakumbuke wote wasio na kazi wanaangaika bila msaada , kwa wakati huu ambapo hawawezi kuhudumia wazazi baba wewe simama walinde na maradhi na majanga ya aina yeyote.

Baba hata wale walio na kazi bariki hicho kidogo wanachokipata lakini pia wakumbuke kusaidia wazazi pia wengine.

Baba na nakuomba sala hii nakuomba uipokee kwa niaba ya wote tuliosoma hapa, najua kabisa sijui kuomba ipasavyo ila pokea pokea maombi haya hivyo hivyo.

Mungu baba kubwa kuliko yote, ninakuomba utulindie wazazi waone mafanikio yetu. Amina.
Amen
 
Kwani mkuu we taasisi zote zilizopo hapa bongo unajua salary scheme na other allowance kwa new employees?
Kwanza kijana hajaweka wazi kuwa hiyo hela ni loan au allowance kwa new hire au ni malipo ya jumla baada ya project flani.
Exactly [emoji3526]
 
Kulipwa wanalipwa ila sio beginners,
Hapo danganyanyeni tu wenyewe. Seniors ndo wanapokea hio hela. Usd 3500 bongo upewe graduates ambaye huna experience yeyote..?? Hell no, nakataa.
Tumekaa Houston Texas na hio hela unalipwa baada ya kupigika sana na kazi, sembuse bongo, kadanganyeni watoto wenu huko.
Umekaa huston, there's this guy wa MS makerspace spaca anaitwa Gary nae anatoka huston,, mnaweza kuwa marafiki
 
Mbona kama umepanic mzee wa Texas [emoji28][emoji28][emoji28]..we baki na laki nne yako
Mimi nisha retire binti yangu, and by the time mimi nashika laki 4, probably wewe ulikuwa hujazaliwa au mostly likely ulikuwa bado unanyonya vidole. Anyways, enjoy your youth na hizo imaginary fantasy zako. I have grandsons pia wenye fantasy kama zako, tofauti tu ni kwamba at least wao wapo in a country where hizo USD 3500 ain't a big deal to stress them out. Uwe na amani 👍🏾
 
Mimi nisha retire binti yangu, and by the time mimi nashika laki 4, probably wewe ulikuwa hujazaliwa au mostly likely ulikuwa bado unanyonya vidole. Anyways, enjoy your youth na hizo imaginary fantasy zako. I have grandsons pia wenye fantasy kama zako, tofauti tu ni kwamba at least wao wapo in a country where hizo USD 3500 ain't a big deal to stress them out. Uwe na amani [emoji1474]
[emoji28][emoji28][emoji28] wacha bwana
 
Mbona watu wanalipwa..kwenye NGO'S hio ni hela ya kawaida kabisa
Si kwenye NGO tu hata baadhi ya taasisi za umma kuna watu wanalipwa pesa zaidi ya hiyo lakini si kwa mwajiriwa mpya aliyemaliza chuo mwaka jana!!
 
Brother watu wanalipwa hio hela sitaki kushikilia point ya jamaa ya kulipwa hio hela lakini hicho kiwango watu wanalipwa nina uhakika kabisa.
Hakuna mtu aliyesema kuwa hapa TZ hakuna mtu anayelipwa hiuyo hela, wapo wanaolipwa zaidi ya ile ila si kwa mwajiriwa mpya aliyemaliza chuo mwaka jana!
 
Bongo bhn, you just need an internet bundle to write anything kwenye mitandao.
Mtu ndo ameanza kazi, anavutaje 8M hata kama ndo NGO..?
Hivi common sense zipo kweli
Vitu vingine ni simple sana! Me nilianza kazi as a fresher nikavuta 21M mkopo baada ya miezi 6! Inategemea na ulipoajiriwa kijana! Tena sio miaka mingi kiivo ilikuwa 2015
 
Back
Top Bottom