Kwa mara ya kwanza nimemuona Malaika

Huyo malaika alikuwa yule aliyetamani kuwa kiongozi wa malaika
 
Malaika uliyemuona ni mzungu kama walivokufundisha waliokuletea dini kwa viboko na mijeredi au mmatumbi kama wewe?

Ni KE au ME? Kama KE alikua mkali?

Siku nyingine kula kwa kiasi usivimbiwe ukaanza kuota ndoto za abunuasi.
 
Big up kwa ushuhuda,ushuhuda unasaidia Sana kuamini kwa wengine
 
Sasa mkuu bahat kama hzo hutakiw kuzipotezea..fanya ufanyavyo mtafte huyo malaika akuambie purpose yako duniam hapa.atakua amekurahisishia sana maisha..hyo ni platnum chamce mjomba
Nimeishaijua purpose, mjomba!
 
Malaika ni halisi, Yesu ni Halisi na Mungu Baba ni Halisi na Roho Mtakatifu ni halisi. Shetani na mapepo ni halisi, Mbingu ni halisi na Jehanamu ya moto ni Halisi. Binafsi nina shuhuda za hivyo vitu. Malaika nawajua nimewaona wawili kwa macho ya kiroho. Nimewahisi na kushuhudia uwepo wao kwangu zaidi ya miezi sita kwa jinsi ya kimwili. Kuna siku nitaleta shuhuda kuhusu Mungu Baba na muonekano wake, Yesu Kristo na Muonekano wake akiwa kwa Jinsi ya mwili na Jinsi ya uungu alionao kwa sasa. Usidanganyike na wapumbavu wanaosema hakuna Mungu, hao walikuwepo toka kizazi na kizazi. Kuna wanaosema hakuna Mungu wala uchawi wakijua wanachofanya kwa kiwa ni Mawakala na wengine ni kufuata mkumbo tu.

Malaika wapo na Ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama ipo tena una nguvu sana.
 
Huo ushuhuda usikawie kuuleta hapa, please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…