Kwa mara ya kwanza nimemuona Malaika

@Kiranga njoo huku unaitwa
 
Watu wanadhihaki lakini inatokeaga.

Nakumbuka Kuna siku nlienda kuogelea sweaming pool, Bila kujua kina chake nikafika na kujirusha Kumbe like sweaming pool lilikuwa na kina kirefu kupita kawaida. Nikazama chini naibuka napiga kelele za msaada watu hawana habari na wamekaa pembeni ya sweaming pool nikama vile sauti yangu haiwafikii. Nikazama na kuibuka Kama Mara tatu ya nne ndo pumzi ilikuwa ishaakata naona nakufa.

Ghafla nikaona Kama malaika wawili wamenibeba na kuniweka pembeni mwa sweaming pool Jambo ambalo sikulitegemea sababu nishapiga kelela Sana ya kuomba msaada na sipati msaada.

Baada ya Kama dakika kadhaa nlipotulia nikaona Ni wakaka wawili nao walikuja kuogelea.

Naamini Malaika waliwatumia wale wakaka kuniokoa sababu kwenye akili wakati nishakata tamaa kabisa naona nakufa nliona Ni Malaika wawili.
 
Natamani malaika wangekua wanawaokoa Wapalestina, wasomali etc wanaouliwa kwenye milipuko ya mabomu bila hatia yoyote
 
Hongera
 
Hukumuona malaika, yule alikuwa Ni jiwe a.k.a meko alikuwa ametoka ghetto kwa shetani akiwa kavaa dela jeupe
 
Pole sana na hongera kwa kushikwa na mkono wa MUNGU, pia kumbuka na kumtolewa MUNGU sadaka ya shukrani kwa muujiza huo, kwenye swala la simu huenda nayenyewe ilikuwa na shida, na alitaka ujue kuwa yeye yupo
 
Ameen
 
Jitahidi uwe/uendelee kuwa mtu mwema
Saidia Ndugu zako, mayatima, maskini na wenye shida na zaidi pia mtangulize Mungu aliyekuonekania
 
Hongera ndugu yangu maana Mungu amekupigania.... yote yanawezekana

Ni ngumu watu kukuamini kwamba malaika kakutokea ila ni rahisi watu haohao kukuamini ukiwaambia umekutana na shetani au jini
Ndo hulka yetu sisi watu weusi. Ila akija mtu mweupe akawaambia story hiyo hiyo watamwamini 100%
 
Jitahidi uwe/uendelee kuwa mtu mwema
Saidia Ndugu zako, mayatima, maskini na wenye shida na zaidi pia mtangulize Mungu aliyekuonekania
Hii ya saidia ndugu sio, unaweza wasaidia lakini hao hao ndiyo wanakupoza, hapo nikufanya mapenzi ya MUNGU basi, wakusaidia watakuja tu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…