Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

Stendi ndogo ya mbezi ya magari ya temeke, gongo la mboto, na segerea ilikua ni vurugu mechi Bora hata wameondolewa
 
Shule yako ni upuuzi mtupu. Na exposure unayodai unayo ni upuuzi mtupu. Usafi maintained!? That's a bullshit, kama hata chombo cha kuwekea takataka tu hapo Posta hakuna hata kimoja wala public toilet mpaka mtu aende kwenye migahawa au bar. Kumbe umeona mamalishe!? Mimi nilidhani umewahi kuongea nao kwa kina, hiyo exposure yako uchwara kawaambie akina makala.
 
Usimlaumu Lord denning kwa kukosa hizo dust bins na toilets mjini. Labda ulaumu culture na traditions za Watanzania.

Niko DSM kwa zaidi ya miaka 40, public toilets zilikuwapo na garbage bins zilikuwapo ila Watanzania wenyewe walizi abuse. Toilets zilibakia ni maeneo ya machafu ambayo hayaingiliki. Hata kama Municipal Authority lakini Watanzania walikuwa siyo wastaarabu, wanakunya ovyo kuanzia mlangoni hadi kwenye choo. Unakosa pa kukanyaga.

Waache hivi hivi waende vyoo vya kulipia au mahotelini
 
unaleta tatizo alafu unalitatua unasema ?
 
Namwambia kuhusu hiyo exposure aliyonayo!? Huko wanakoiga hayo hakuna hayo!?
 
Ila Tanzania sijui ina tatizo gani, naposikia hadi leo wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa madawati, wazazi hawana uwezo wa kumudu kuwanunulia binti zao taulo za kike,vijijini huko watu wanatumia maji yasio salama hadi leo,gharama za matibabu imekuwa mzigo mkubwa kwa wananchi n.k
Nabaki najiuliza hivi haya matatizo sugu yataisha lini ili tusifie na sisi?
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nini sisi watanzania kuhusu awamu ya Tano ?
 
Kwenye suala la USHAMBA na kukosa exposure nimekuelewa. Watu wasiokuwa na exposure wanaiona Tanzania kama ndio dunia yote iko hivyo.
 
Historia ipi hawajifunzi?

Kwani machinga wanapangwa kutokana na pesa?
Msiwatumie kisiasa, watengewe maeneo yao ya kufanya kazi kwa weledi, siku hizi zama zimebadilika unaweza kuwa machinga bila kupanga vitu barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…