Huenda kweli,ili wampumbaze asijue kinachoendelea
Inaweza kuwa kwa mujibu wa imani za kikwenu kwenu,ikiwa ni mganga msaidie basi iwapo yupo tayari
ππππKanuni inasema ukishindwa kusamehe lipa kisasi, uko sawa kabisa nadhani huo mkono utakuwa umeoza sasa, safi