Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha inawezakana isiwe hivyo, mimi ninajirani yangu hapa mtaani mbuzi wake wanakula sana miche michanga ya miti yangu, ukimwambia anasema tu haya, baadae anawambia wakina mama wenzie watanifanya nini sasa, miparachichi na michungwa yangu wanakula balaa, anafunga wakubwa tu, wadogo anawaacha wazurule, mtu kama huyo ukiwa na roho mbaya si mnaumizana?Nina miaka kadhaa sasa.. But nilichojifunza, ukimfanyia mtu ubaya au kufanya kitu kibaya, kitakurudia tu... tena kwanmna tofauti au ilele katika mtazamo tofauti.. Yeye alivyo kupiga na kukudharau halikwamba huna kosa, yeye ingempata kwa namna nyingne.. angepigwa tu kwa namna nyingne..
ila ujachelewa ndugu yangu mrudie Mungu wako Utubu.. omba toba kwa mwenyezi Mungu...
Hayo maombi mbona hamuombi utajiri mkafanikiwa?Yatakurudia yote...
Subiri afanye maombi uone...
Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira
Nilidhani wewe ndiwe Uliloga kumbe mganga.NILIKUWA NIKIFIKIRI NIKUULUZE ULIFANYAJE ILI KUMLOGA YAANI HAYO MAARIFA. KUMBE HUNA NI MGANGA NDIYE ALIYONAYO. BURE KABISA KUJISIFU KITU USICHOWEZA KUKIFANYA. UTAJUAJE KAMA ALIAGIZA VIJANA WAKAENDA KUMKUNJA NA KUUSOKOTA MKONO?Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!
Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.
Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.
Sasa tarehe 24 mwezi wa 12, nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.
Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa. Huyu jamaa ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.
Basi bana bila ya kujali Mimi ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.
Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.
Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.
Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.
Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.
Sijutiii
Wewe subiri ulale usiku moja kwa moja tuKwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

" Dizast vina" storzake za hatia hua anamalizia na neno Sijutii kamwe nimelipenda hili neno qumamaqe.Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Sawa.Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Wewe subiri ulale usiku moja kwa moja tu
Kwa msiojua uchawi unasheria zake kama hiyo familia ilimroga mtu kwa kumuonea wakirudishiwa mapigo yatawakumba vilivyo lakini kesi ya mleta mada ipo tofauti kwani yeye ameroga mtu baada ya kufanyiwa ubaya na mhusika na atakapokwenda kwa mganga kuukagua mkoKuna mwanangu familia nzima ilipukutika sababu hii maana wali track wakajua kuwa ndug yao karogwa na jirani basi ilikuwa balaa kila week ana dondoka mtu mpka wakaisha ote
Ukikosa adabu unageuzwa msukule au mke wa mtu bila kujali jinsia yako na hiyo ndiyo dunia, utabamizwa asubuhi, kuna tajiri mmoja alimdhulumu mteja wake fuso, ilikuwa hivi mkulima wa maharage baada ya kujipata akahitaji kununua fuso tandam akamfuata huyu tajiri apewe mwongozo jamaa akamwambia lete hela aitume mahala gari uletwe,Mwanangu mwenye pesa harogwi 😅
Ajichange arudi kufanya masters pale na afanye kweli kuliko mara ya kwanza wanaweza kumchukua.................ila kuna mwamba anafirst class ya mzumbe ni bodaboda tabata so inawezekana pia, mzumbe walimbakisha akakataa akidhani huku nje atatoboa kirahisi na makaratasi yake,alipojaribu kurudi mzumbe wakamwambia imeisha huyo