Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kweli..Shida moja ya kuroga ni vita isiyoisha nae ana ndugu watahangaika mpaka watakujua na wewe utarushiwa kombora mdomo uende upande .
Waombaji wenyewe ndio hawa hawa kina mwamposa na lusekelo, au kuna wengine?Yatakurudia yote...
Subiri afanye maombi uone...
Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira
Uyo jamaa najua anajuta sana.................ila kuna mwamba anafirst class ya mzumbe ni bodaboda tabata so inawezekana pia, mzumbe walimbakisha akakataa akidhani huku nje atatoboa kirahisi na makaratasi yake,alipojaribu kurudi mzumbe wakamwambia imeisha huyo
Akili yako imeishia hapo
We huwajuhi watu, watu wanabadilika huwezi amini. Kumbuka hao sio ndugu zako!Mmesoma shule moja, mtaani mpo pamoja, akupige n mkofi, acha uongo basi?
Sio mpaka afanye maombi, Mungu kwa muda wake mwenyewe hurudisha vichapo sawiaYatakurudia yote...
Subiri afanye maombi uone...
Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira
Kama ni coicedence huyu asingepata taarifa. Hii ina maana ni kombora lake limefanya kazi. Pia mnaosema akijua atamuua jua tangu mwanzo wa yote muumba yuko anatizama. Si rahis muonewaji afe kwa kisasi cha ubaya mimi nimeona wengi wakifa na wengine wakifiwa na kupatwa na ajali, mikosi na balaa kwa ajili ya ujeuri wao na uonevu.Ni kweli uchawi upo. Ila wakati mwingine unaweza kuhisi mtu amepatwa jambo kama majibu ya kombora ulilorusha kumbe ni coincidence tu unampa mganga credit.