Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu

Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu

Nina miaka kadhaa sasa.. But nilichojifunza, ukimfanyia mtu ubaya au kufanya kitu kibaya, kitakurudia tu... tena kwanmna tofauti au ilele katika mtazamo tofauti.. Yeye alivyo kupiga na kukudharau halikwamba huna kosa, yeye ingempata kwa namna nyingne.. angepigwa tu kwa namna nyingne..
ila ujachelewa ndugu yangu mrudie Mungu wako Utubu.. omba toba kwa mwenyezi Mungu...
Hahaha inawezakana isiwe hivyo, mimi ninajirani yangu hapa mtaani mbuzi wake wanakula sana miche michanga ya miti yangu, ukimwambia anasema tu haya, baadae anawambia wakina mama wenzie watanifanya nini sasa, miparachichi na michungwa yangu wanakula balaa, anafunga wakubwa tu, wadogo anawaacha wazurule, mtu kama huyo ukiwa na roho mbaya si mnaumizana?
 
Dah! tupo tofauti sana binafsi namuacha lakini kinachomtokea muhusika hadi namuonea huruma,naamini Mungu analipa kisasi kizuri zaidi ni suala la muda tu
 
Hay
Yatakurudia yote...

Subiri afanye maombi uone...

Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira
Hayo maombi mbona hamuombi utajiri mkafanikiwa?

Maana kuna watu wameaminishwa maombi kama njia ya mafanikio lakini ni mafukara wa kutupwa licha ya kushinda makanisani.
 
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.

Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.

Sasa tarehe 24 mwezi wa 12, nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.

Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa. Huyu jamaa ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.

Basi bana bila ya kujali Mimi ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.

Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.

Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.

Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.

Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.

Sijutiii
Nilidhani wewe ndiwe Uliloga kumbe mganga.NILIKUWA NIKIFIKIRI NIKUULUZE ULIFANYAJE ILI KUMLOGA YAANI HAYO MAARIFA. KUMBE HUNA NI MGANGA NDIYE ALIYONAYO. BURE KABISA KUJISIFU KITU USICHOWEZA KUKIFANYA. UTAJUAJE KAMA ALIAGIZA VIJANA WAKAENDA KUMKUNJA NA KUUSOKOTA MKONO?
 
Mwisho wake ni nini? Unapata faida gani? Unajiingiza kwenye vifungo visivyo na maana.
Usifanye mambo ukiwa na hasira achana na hizo roho.
 
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.

Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.

Sasa tarehe 24 mwezi wa 12, nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.

Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa. Huyu jamaa ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.

Basi bana bila ya kujali Mimi ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.

Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.

Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.

Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.

Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.

Sijutiii
Wewe subiri ulale usiku moja kwa moja tu
 
watu kama wewe ndiyo mnahitajika kwenye idara za mauzo maana umelitendea haki tangazo lako subiri tu mrundikano huko pm.
 
Hakika nawambieni, Katika maisha usikubali katu mtu akufanyie mambo haya,KUONEWA AU KUFANYIWA DHULMA YA AINA YEYOTE,KUZEA FAMILY YAKO KWA AINA YEYOTE NA KUCHEZEA MJI WAKO KWA AINA YEYOTE,Mleta mada uko sahihi kabiba KISASI NI HAKI YAKO,Kuna watu wanadharau sana hapa dunia especially akiona ana nguvu fulan anakuzid
 
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.

Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.

Sasa tarehe 24 mwezi wa 12, nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.

Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa. Huyu jamaa ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.

Basi bana bila ya kujali Mimi ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.

Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.

Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.

Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.

Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.

Sijutiii
" Dizast vina" storzake za hatia hua anamalizia na neno Sijutii kamwe nimelipenda hili neno qumamaqe.
 
Kuna sehemu moja ya machimbo kulikuwa na askari mmoja mkuda na bingwa wa kuchomesha watu, siku akajichanganya kwa jamaa mmoja alipigwa kombola moja na mdogo ukaenda upande na kazi inaishia hapo .
Kwa sasa amerudi huko kijijini kwao ana miaka kama minne kwa sasa

Haya mambo yapo
 
Ila nakuunga mkono, watu wengine wanajifanya miungu, ni kuwaloga tu! Unakuta mwenye pesa anamuonea masikini, sema kumroga tajiri ni kazi, amejiganga vya kutosha. Ila amini kuwa msumari unaweza kuangusha gari la moshi.
 
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!

Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.

Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.

Sasa tarehe 24 mwezi wa 12, nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.

Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa. Huyu jamaa ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.

Basi bana bila ya kujali Mimi ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.

Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.

Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.

Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.

Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.

Sijutiii
Sawa.
 
Uko sawa buddha, hii dunia kuna watu wanahisi wanahaki zaidi ya wengine, kanakwamba wengine tupo kwa bahati mbaya.
 
Wewe subiri ulale usiku moja kwa moja tu
Screenshot_20240526_075054_Gallery.jpg
 
Kuna mwanangu familia nzima ilipukutika sababu hii maana wali track wakajua kuwa ndug yao karogwa na jirani basi ilikuwa balaa kila week ana dondoka mtu mpka wakaisha ote
Kwa msiojua uchawi unasheria zake kama hiyo familia ilimroga mtu kwa kumuonea wakirudishiwa mapigo yatawakumba vilivyo lakini kesi ya mleta mada ipo tofauti kwani yeye ameroga mtu baada ya kufanyiwa ubaya na mhusika na atakapokwenda kwa mganga kuukagua mko
no ataambiwa umelogwa lakini aliyefanya hivyo wewe ndiye ulimuanza,
Hivyo hicho ni kisasi sasa kama ataamua kutuma kombora sawa linaweza hata kuua ila ikitokea vinginevyo mjeda atafumuliwa na hatokuwa na hakupita.
 
Mwanangu mwenye pesa harogwi 😅
Ukikosa adabu unageuzwa msukule au mke wa mtu bila kujali jinsia yako na hiyo ndiyo dunia, utabamizwa asubuhi, kuna tajiri mmoja alimdhulumu mteja wake fuso, ilikuwa hivi mkulima wa maharage baada ya kujipata akahitaji kununua fuso tandam akamfuata huyu tajiri apewe mwongozo jamaa akamwambia lete hela aitume mahala gari uletwe,

Jamaa akafanya hivyo basi gari haikuja jamaa alipouliza akauliza una ushahidi gani kwamba ulinipa hela jamaa akaenda mahakamn akashindwa kesi jamaa akamwambia kama hela yangu nilikupa utaona.
Yule tajiri figo zikafeli kipindi kile akaenda India kupandikizwa akarudi ile figo ika reject akafa familia ikafatilia chanzo cha kifo wakagundua ni uchawi jamaa akawindwa akala chuma ya kichwa, wale nao wakagundua njama watoto wa tajiri wakafa wote na mali zikaishia kugawanywa na mashemela
 
................ila kuna mwamba anafirst class ya mzumbe ni bodaboda tabata so inawezekana pia, mzumbe walimbakisha akakataa akidhani huku nje atatoboa kirahisi na makaratasi yake,alipojaribu kurudi mzumbe wakamwambia imeisha huyo
Ajichange arudi kufanya masters pale na afanye kweli kuliko mara ya kwanza wanaweza kumchukua.
 
Back
Top Bottom