Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo Usseri Rombo!

Je ungeshuhudia anavyo tolewa roho KITIMOTO, si ndio ungekuwa VEGETERIAN kabisa.

Kwa kifupi hachinjwi, anapigwa bonge moja la rungu kwenye kichwa. Haombi hata maji. Sasa umkosee kumpiga panapotakiwa kupigwa, yaani umjeruhi asife. Huo mtafaruku wake si wa kispoti spoti.
 
Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Tumegee hiyo siri bwashee!
 
Hapa ndo umejidhihirisha kuwa wewe ni mwanaume mwoga...

Mwanaume gani unaogopa kuona mbuzi anachinjwa????

Nimestajaabu mnoo....
Lakini msimlaumu maana ameshasema ni mwanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom