johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hicho ndio kilichokupeleka huko?Nimeshuhudia jana mbuzi anachinjwa huku amezibwa mdomo ili asilie.
Kwa ushinjaji huu hamu ya nyama ya mbuzi imeniishia kabisa bora kesho nirudi Dar.
Happy New Year!
Una uhakika ni mwanaume au unabahatishaHapa ndo umejidhihirisha kuwa wewe ni mwanaume mwoga...
Mwanaume gani unaogopa kuona mbuzi anachinjwa????
Nimestajaabu mnoo....
Sisi kwetu hachinjwi anazibwa mdomo anachomwa kisu kifuaniHa haaaa...
Umenikumbusha kuna mzee wangu wa kichaga alinipa siri ya mbuzi kuchinjwa huku akiwa amezibwa mdomo huko uchagani.
Tumegee hiyo siri bwashee!Mkuu iyo ni moja ya mila na ina maana yake, anazibwa mdomo alaf anachomwa kisu kufuani hadi kinagusa moyo, siwezi kuelezea zaidi maana wahusuka wanalifahamu hilo.
Lakini msimlaumu maana ameshasema ni mwanaume wa DarHapa ndo umejidhihirisha kuwa wewe ni mwanaume mwoga...
Mwanaume gani unaogopa kuona mbuzi anachinjwa????
Nimestajaabu mnoo....
Uchinjaji wa kikatili kabisa!Hapa ndo umejidhihirisha kuwa wewe ni mwanaume mwoga...
Mwanaume gani unaogopa kuona mbuzi anachinjwa????
Nimestajaabu mnoo....