Kwa mara ya kwanza taifa mwanachama UN kumpiga Maarufuku Katibu wa UN , Alipaswa akemea uvamizi wa Iran kwa Israel, Hongera Israel no unafiki

Israel ni taifa ambalo linaongozwa na watu wenye hisia sana, hisia zikitawala akili ni tatizo.
Israel ni miongoni mwa mataifa yanaongoza kwa uvumbuzi wa teknologia , technology inahitaji akili sio hisia
Waotumia hisia na mihemko ni wale wanautumia tech ya adui yake kumpakia kiongozi mkubwa Kama Rais wa nchi

Wanautumia tech ya adui zao kuwasiliana hao ndo wenye hisia na mihemko Kama ya teenagers
 
Kwa hiyo ndo maana katibu ameshindwa kulaani uvamizi wa wazi wa Iran
 
Ndo umeandika nini mkuu

Kwanini katibu ameshindwa kukemea uvamizi wa wazi wa Iran kwa Israel
 
Unafiki ndio unao isumbua dunia.
Unafiki umetawala.
Dunia haina haki, mwenye nguvu ndio mwenye haki.
Vita vya Israeli vitatufunza mengi tusio kuwa tunayajua.
 
Kwa hiyo Katibu amebariki uvamizi wa Iran kwa Israel sio
 
Leta list ya mataifa yanayo ongoza kwa teknolojia duniani
 
Kwa hiyo Katibu amebariki uvamizi wa Iran kwa Israel sio
Katibu ana mamlaka gani ya kubariki au kukataza nchi moja isivamie nyingine bana..UN sio executive branch ya dunia, kile ni kama kikundi cha kikoba cha Dunia tu..mataifa yote yana mamlaka rasmi. Wakati NATO wanaingia Libya,Iraq,Serbia,Afghanistan waliomba ruhusa kwa katibu wa UN??
Urusi kumchapa Ukraine ilipewa ruhusa na katibu wa UN...
 
Huyu Mosad wadili nae tu.
 
Kwa hiyo hata Israel ikiiamua kuvamia Iran , ,katibu atulie sio ?
 
Unaweza kuweka ushahidi wa Israel kushambulia NDANI ya Iran na kuua viongozi wao ??
Umesahau kuwa Lebanonon na Hezbullah ni ndugu wa Iran.
Umesahau kuwa kwa sasa Israel kaingiza vita Lebanon baada ya kuuwa wapalestina 40,000.
 
Israel anaanzisha fujo anajua kabisa wakupigana ni US, kila kitu anapata bure kwanini asiwe mtoto mtukutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…