Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
- #21
Israel ni miongoni mwa mataifa yanaongoza kwa uvumbuzi wa teknologia , technology inahitaji akili sio hisiaIsrael ni taifa ambalo linaongozwa na watu wenye hisia sana, hisia zikitawala akili ni tatizo.
Waotumia hisia na mihemko ni wale wanautumia tech ya adui yake kumpakia kiongozi mkubwa Kama Rais wa nchi
Wanautumia tech ya adui zao kuwasiliana hao ndo wenye hisia na mihemko Kama ya teenagers