Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

Milioni 350 ya urithi inakupa jeuri ya kutukana watu hata huwajui na matusi yako based na hisia kuwa Baba zao walikimbia umande na waliendekeza ngono?

Wewe bado sio tajiri na hiyo mentality itaku cost very soon
 
Milioni 350 ya urithi inakupa jeuri ya kutukana watu hata huwajui na matusi yako based na hisia kuwa Baba zao walikimbia umande na waliendekeza ngono?..
Wewe bado sio tajiri..na hiyo mentality itaku cost very soon
Itakuwa mali ya urithi.. ndio mana amewasifia sana wazee wake... namjulisha aweke akiba ya maneno.. matajiri hawanaga hizi tabia za makelele
 
Aisee
Mbona unazingua mkuu?
 
Nilichokiona hapa wewe utabarikiwa kwa kuzitapanya hiZo mali.
 
Nilidhani utaonesha hizo mil 350 ama useme ulipozipata,, kumbe umekuja kutukana wazazi wetu????

We kweli hamnazo.... shukuru Mungu umezaliwa ulipozaliwa ila usitukane wazazi wa wenzako, maana hakuna aliyechagua pa kuzaliwa.
Achana na waswahili. Huyo mla tembele kama kawa, pesa huwa haisemwi semwi hovyo.
 
Sasa wazazi wetu wamekukosea nini maskini ya Mungu! Sisi maskini ndio na tunawapenda wazazi wetu haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki mengine matokeo, wakati unafurahia 350 milioni ujue kuna wenzako wanafurahia bilioni 10 na wako kimya na wanatuheshimu, Hustler popote alipo hana majivuno wala dharau kwa wengine, jifunze kuheshimu watu ndio kanuni kubwa ya dunia
 
Rusha hata cha kumi mkuu njia inanitandika hapa,
Nakupa wosia, kila senti moja hakikisha unanunua nyumba maeneo Viwanja majengo, hela hizo nazifahamu sana baada ya kununua jengo, chukua kodi yako, hiyo kodi sasa RUHSA KUJINYWEA BIA MBILI, TATU,
#Take this as gift wise! Utanishukuru baadae.
 
Kipato huleta majivuno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…