Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

Pesa ya urithi ni pesa ya aibu, hata ukanunulia gari utaishia kudhalilikantu, maana kila utakapojaribu kuoshea utasikia, pesa ya urithi...,
Sasa unakuta ameuza manzese kahamia au kanunua nyumba mbezi beach huko nani anamfahamu?
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Qul haki inkana mula! Sema kweli japo inauma
 
Milioni 350 ya urithi inakupa jeuri ya kutukana watu hata huwajui na matusi yako based na hisia kuwa Baba zao walikimbia umande na waliendekeza ngono?..
Wewe bado sio tajiri..na hiyo mentality itaku cost very soon
Kwani katafika mbali sasa
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Mbona ni hela ndogo sana! Unazungumzia milioni 350 mpaka mjukuu azipate wakati ni kama nyumba 4 tu za milioni 80 kila moja! Umasikini mbaya sana!
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Do you think 350M is owe by the person spoke like you.

Watu wako na pesa hiyo wala hawako na domo na mwaandiko wa majunguu kama wako.
 
Kwa matope yaliyomo kichwani mwako sidhani kama hela itadumu.
 
Ukirithi wewe mali inatosha boss. Sie wengine tutarithi majini ya ukoo afu shega. Hatuna lakini safiii
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Afya ya akili ni vita ya tatu ya dunia
 
Mhaya huyo!! Hizo hela watu wanazo na hawanaga mambo mengi! Hiyo pesa ni yakununua gari moja ya kutembelea na inabaki kidogo ya mafuta! Lakini kwa vile yeye kichwa maji anaona kashatoboa!
Nikueleweshe tu kidogo ukiachana hiyo pesa binafsi kwa mwezi nina uhakika wa kuingiza mil 7 kupitia kodi za majengo k/koo ..ukiachilia nyumba ambazo zipo mwenge,mbezi beach na osterbay.
Makasiriko hayafai pambania wajukuu zako wasiteseke kama wewe babu yao
 
Wewe huna uwezo wa kuingiza million 7 kwa mwezi usingekuja kubweka hapa! Wewe mshamba mmoja tu!
 
Back
Top Bottom