Kama kijana tunakitu chakijifunzaa kwa huyu mleta mada maana maisha yako ya sasa ndio yanaamuza kizazi kijacho chako kiishije...Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Wewe nae kipa katokaOyaa wakuu acheni wivuu,,,Haijalishi jamaa hiyo pesa ni ya Urithi au kapewa,,kaiokota au kaiba ila ukweli unabaki pale pale kwamba jamaa ndio kashatusua hivyoo [emoji23][emoji23],,
Tatizo mnataka kuleta theory zenu kwenye pesa za watu,,,mwacheni atambe zikiisha atarudi mwenyewe kuja kuleta uzi wa namna gani Alikiba aliimba vyema ule wimbo wa MACMUGA
Mtoa mada naona ni mtunga mashairi ya taarabu.Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Ugoro mtupu, uzi wa hovyo kuwahi kutokea JF!Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Kuwa makini mwenzako huku January 2022, wameuza nyumba mgao 150m. haraka kanunua nyumba mbili, moja NI kubwa, nzuri na ina eneo kubwa Sana akanunua na gari jamaa kabla ya hapo alikuwa msukuma mkokotena hivi naaandika hadi December atakuwa karudi kwenye kazi yake ya asili, maana kauza ile nyumba nzuri kwa 40m chini ya Bei aliyonunulia, kauza gari na Sasa kaanza kuuza fanicha za ndani anadai "kimfaacho mtu chake"[emoji3][emoji3] na mwisho usizuzuke na hiyo pesa ukadharau wenzio maana hujui tunaishijeNimeweka angalizo mpambanie kombe wajukuu/watoto wenu wasije kuteseka Kama mnavyoteseka nyinyi
Nami nashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona mipasho tena mleta mada?!
Umemaliza mzee[emoji16] atajirekebishaNilidhani utaonesha hizo mil 350 ama useme ulipozipata,, kumbe umekuja kutukana wazazi wetu????
We kweli hamnazo.... shukuru Mungu umezaliwa ulipozaliwa ila usitukane wazazi wa wenzako, maana hakuna aliyechagua pa kuzaliwa.
Mnaanzaga hivi zikiisha mnabaki kuwa wasenge, usipende vya bure leo cha babu kesho utakula cha balabuu,Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi Mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu.